Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makenya naona hayajatia neno kwenye hizi habari mpya za CAF kuhusu soka la Afrika, yameumia kweli kweli kuona Tanzania tumeyaacha mbali, now tuna compete na wakubwa wenzetu Afrika, kimya chao kinamaanisha wamekubaliana na ukweli. Wazungu wana msemo wao maarufu wanakwambia let strong man passes by, kwenye soka sisi sio size yenu, size yetu ni waafrika kusini wenzetu yaani Southerners wenzetu sio nyinyi wanuka shombo wa East Afrika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Region ya ******* sana hii, can you imagine region nzima hakuna electrified railway, hakuna BRT wala approved stadium by CAF na wala hakuna representative wa CAF tournament itakayofanyika mwakani, hii region imelaaniwa wallahi, watanzania tuna kila sababu ya kutojihusisha na hii region ya kipuuzi tusije laaniwa na sisi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Utapingana na ukweli mpaka lini? Kila siku tuna share articles zinazotuweka mbele yenu kwa mambo yote hayo aliyotaja coodip1 ifike wakati accept truth zen move on hutakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…