Mpaka tanga zipo alaf unaongea nn wwπ€£π€£Hahah hili si la dsm tena huyu tajiri anajihusisha na mambo ya hardware kkoo. Na hii photo najua umeitoa account hii ig ππππππππππππππππππππ
View attachment 2798375
Ulisema 7 sasa zimefika 10 π€£π€£π€£π€£ ndio maana nilikuuliza ww ndio unayahesabu au haya niambie kenya yako mangap??Hilo la 1 nimeliona mara 2 kkoo. Alafu zingatia comment yangu nimeeleza kuwa kama hayo range vogue 2023 zipo bongo basi haizidi 7-10 trust me.
πππππππ
Gari ya simba wa tanga unasema ECK π€£π€£Hiyo inaweza kuwa ni eck maana jamaa anasafiri sana mkuu. Anyway mimi point yangu ni kuwa kwenye magari makali kenya wametuzidi sana tena sana yaaani.. Na hapo usibishe.
Na huyu je unamjua ??π€£π€£π€£π€£Hiyo inaweza kuwa ni eck maana jamaa anasafiri sana mkuu. Anyway mimi point yangu ni kuwa kwenye magari makali kenya wametuzidi sana tena sana yaaani.. Na hapo usibishe.
Naijua vzr sana hio ndio maana nimekwambia hvi wabongo sio watu wakujionesha na sio watu wakushoboka kutafuta magari ya watu π€£π€£π€£π€£Mkuuu embu cheki hii link ya ig alafu fananisha magari yao na yetu acha kukaza fuvu bro.
Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.instagram.com
Naijua vzr sana sema kumbe lamboghini urus ndio inakupa tabu π€£π€£π€£π€£π€£Pitia magari ya hii link niliyotuma ujione mwenyewe acha kukazana na ma range rover tu mbona type zingine hamna, nioneshe bentayga/rolls royce / lamborghini urus.
Fala kweli wewe afro oil nakwambia nilikuta brand new LC 300 sita zimepaki naambiwa wamenunuliwa watotoπ€£π€£π€£π€£πππππ LC300 SITA? PAAAH acha zako ww ulishindwa hata kupiga picha?
Watoto wa nani hao au vitukuu vya bakhresa?.
Itakuwa ni wanasiasa hao.
IS this still Kakamega?Something to note also, no single suburb is without tarmac. Every road and street is tarmacked. 90% of the roads have proper sidewalks and drainage system. In most cases closed drainage
View attachment 2798175View attachment 2798181View attachment 2798182View attachment 2798183
Nyingine hio nakupa lambo inaonekana bado mshamba sana ww π€£π€£π€£π€£π€£ Ni nani mkuu?. Pitia hapa pia π
Which city is better, Nairobi or Dar es Salaam?
Jay Frank's answer: 1. Both cities are the countries biggest city 2. Nairobi is more developed than Dar Es Salaam. 3. Nairobi enjoys a relatively cooler weather all year round, Dar Es Salaam is hot but not anything to hotness of middle-east/South-east Asia. Dar Es Salaam hot season is 3 months an...www.quora.com
Aliefanya edit naomba umtag plz π€£π€£π€£π€£Hii ni edited usidanganye ww angalia hiyo plate no. Vizuri staki kuamini kuwa na ww uliamini hii post kama ni kweli basi ww ni mshamba sana huwezi tofautisha plate no. Ya ukweli na uongo?
Acha kupost vitu fake.Naijua vzr sana sema kumbe lamboghini urus ndio inakupa tabu π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 2798405
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Acha kupost vitu fake.
High end cars achia Kenya
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Naijua vzr sana sema kumbe lamboghini urus ndio inakupa tabu π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 2798405
Mbona hukushangaa hii ilipokuja kwenu ikawa gumzo kenya nzima na watu wametulia ??π€£π€£π€£π€£π€£π€£Duuh sawa sikatai zipo nionyeshe rolls royce achana na ile ya tajiri EL nionyeshe zingine
Au sio basi karibu sana naona bado mgeni utakua au unasemaje π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huyo sio mimi mkuu umenichanganya
Hehehe ww unachekesha sana π€£π€£π€£π€£Sasa mimi ntamjuaje?. Sema ni ya uongo hiyo angalia vizuri.
Huyo aliyenunua lc300 ni nani? alafu je ni kama hizi za 2023 au ni za zamani?
View attachment 2798413View attachment 2798414
Nimekwambia huku kuna watua wanamagari na wameyapaki hawayatumiiπ€£ππ Sikuiona hiyo mkuu halafu huyo spider ni nani nimewahi kuiona tena kwenye lile daraja jipya huyu mdau ni nani asee?
ichoboy01 huwa na wasiwasi. We can not start arguing on sport cars and high end cars in Kenya........Huyo sio mimi mkuu umenichanganya
Wewe mgeni humu usivamie bila kupitia vzr hii thread, wapo wenzio kipindi uzi unaanza walikuwa hivyo hvyo now wametii, so nenda pole pole utatii na ukawahadithie wenzako, hiyo issue ya magari tulishamalizana nao kitambo, pitia post za juu.Pitia magari ya hii link niliyotuma ujione mwenyewe acha kukazana na ma range rover tu mbona type zingine hamna, nioneshe bentayga/rolls royce / lamborghini urus.
Kumbe mmombasa π€£π€£π€£π€£π€£Ukweli mchungu ichoboy01 uje huku uone acha kuringia hiyo ferrari spider 1 tu. π€£