Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CAF hawautambui, usifosi mambo, uwanja wa 60's uje kulinganisha na uwanja wa 2000s una kichaa? Kuhusu stadiums, soccer hatushindani na yeyote EA.
 
Nyie wakenya ndiyo maana life expectancy yenu iko chini, huwa mnajipa headache za bure kabisa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wameweka viti juzi, tena baada ya kuona wanatukanwa na watanzania ndio wameweka, basi ndio wanapata guts za kulinganisha na Mkapa 🀣🀣🀣🀣

Eti maandalizi ya AFCON ndio wameweka viti 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
I just ordered this book on amazon…..am very curious on the part about his ailing … hopefully I will see something about the airlift to Nairobi hospitalβ€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Numekuuliza swali ulijua anayo au wapi umekutana nayo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Waambie wakuoneshe velar ya 2023 wakipata nitag na mm 🀣🀣🀣🀣 hata na ww unaeza wasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…