Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Kshs 46.1 bln (for all Equity Group operations Kunyaland plus other subsidiaries) * 16.65 (today's exchange Rate) = Tshs 767 bln!
Halafu hiyo ni Equity Group. Umejumlisha kila kitu.Kshs 46.1 bln (for all Equity Group operations Kunyaland plus other subsidiaries) * 16.65 (today's exchange Rate) = Tshs 767 bln! Sasa wapi hiyo maneno net profit ya Equity ni zaidi ya Banks zote Tanzania?
Kiswahili kimeundwa kikapiganiwa kimataifa kimekubalika sasa wakenya wanajipachika huu mzigo ni wetu tuwabebeUK- english ni asili yao na wanaongea poa
CHINA-kichina ni lugha asili yao pia wanaiongea poa
RUSSIA-kirussia ni asili yao wanakiongea poa
INDIA-hawa nao wanaongea lugha yao poa
Na nchi nyinginezo zenye asili za lugha wanazungumza vyema,swali la msingi
Je why kenya yenye asili ya kiswahili inashindwa kuzungumza kiswahili vyema?
Hauoni kuwa mnamatatizo ya kiakili,kifikra mpaka kimwili?
Anywhere there is racing, as long as Kenya is there, Tanzania can never win. They only win when competing among themselves
Hebu mpeleke Baringo tafadhali😁😁
Kama OT mwanangu 😍😍🥰❤️🇹🇿 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥TP Mazembe vs ES Tunis
Benjamin Mkapa Jana.
Mashabiki walikuwa wamejaa uwanjani
View attachment 2790016
Wakenya ni kama vijana wa hovyo wa istagram
These people can do anything just for the sake of remitansi 😁
Wacha wabaki na kiengereza chao cha ugoko 🤣🤣🤣🙏🙏🙏
View attachment 2789969Tanzania overtakes Kenya on best investment destinations in region
Tanzania has beaten Kenya on the best investment destinations for investors eyeing the region in the next two years.www.businessdailyafrica.com
Usishangae akiweka na data za equity group 🤣🤣🤣leta evidence net profit ya Equity Bank!