Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaiogopa Benjamin Mkapa stadium?😁
Nikupe taswira. Hata kama viwango vya hivi viwanja haifikii kimataifa, but at least.... tunamwanzo. Rénovation kidogo tu na ndio hivo. Viwanja vinavyo weza kutumika.
CECAFA U18 INAKUJA Kisumu na itatumia, Kenyatta, HomaBay, n'a Moi.

1. KASARANI

2. NYAYO

3. ULINZI

4. HomaBay

5.BUKHUNGU
6. DANDORA
7. NAROK
8. KIRINGITI
9. KINORU

10. NYAMIRA


12. NYERI


13. KISII
 
Umeweweseka na Mkapa?😁
 
Audi won The Masinga TT Tanzania wakaja na Selica yao ikaonyeshwa vumbi na vijana wa subaru🤣🤣🤣


Subaru zenyewe
 
Kenyatta University imenyuka University of Split. Kenyatta University Won the African Soccer Tittle and now representing Africa in World University Soccer (University World Cup)
 
Ukitoa Benjamin mkapa mna nini unaweza leta kwenye meza tubishane Kama hakuna tutatumia hizo hizo za CCM Kama hupendi kafie mbali
Kwani wewe mgeni humu? Hiyo battle ya viwanja tulishaimaliza kitambo, kama unataka tena sema, na katika hiyo battle Mkapa stadium hatutaiweka mana haina wa kufanana naye East and central Africa.
 
Kwani wewe mgeni humu? Hiyo battle ya viwanja tulishaimaliza kitambo, kama unataka tena sema, na katika hiyo battle Mkapa stadium hatutaiweka mana haina wa kufanana naye East and central Africa.
Tuonyeshe stadium ya pili kwa ukubwa lazyland
 
Always jua kali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…