Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ililetwa na nani hii na nani aliwanyan'ganya tonge mdomoni wa kenya??😅😅😅
Nachojua sababu za why not Kenya na Kwa nini Tanzania ziliwekwa wazi,nani aliileta au hakuileta hata asingekuwepo Bomba lingejengwa upande wa Tanzania.

Hizo fix mnaweza wadanganya mbumbumbu mliokuwa mnawafanyia maigizo kama haya 👇
 
Babuuu sema wewe mtu wa yeboyebo! Kinaeleweka... 😀😀
Ingekuwa ni Yanga na Al ahly wallahi pangechimbika, yani ingekuwa bonge la game, na ndio siku Arsene Wenger na wenzake wangetii kwamba Africa kuna mpira wa kuvutia sana.

Sema sasa hiyo mechi itakuwa mbaya mana simba butua butua a.k.a papatu papatu, na Al ahly mpira wao wa kiarabu unajulikana, ugenini kukaa nyuma tukashinde nyumbani, ofcz hamna mechi apo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unamdanganya nani kwamba Barabara haikai mda mrefu? Tanzania tunajenga Barabara zenye life span ya miaka 10?

Harafu kwani hujui kwamba kuchoka Kwa sababu ni load repetition? Barabara zikiwa na connectivity na network kubwa huko kuchoka kutakujaje?

Barabara zinachoka Kwa sababu ni chache Kwa hiyo ziko overutilised eg ukitoka Njombe unataka kwenda Moro lazima uje Tanzam highway ,hivyo hivyo na Barabara zingine.

Lakini endapo mtandao wa lami wa km 30,000 Highway na Regional Road zingekuwa zimejengwa,barabara.zisingekuwa na loading kubwa hivyo zingedumu zaidi ya miaka 30 Kwa maintenance ndogo ndogo sana.

Tanznaia Kuna mzigo gani wa kuhitaji Sgr,upi huo? Burundi na Rwanda Kuna nini Cha maana huko? Kama Tazara imeshindwa kuondoa Malori barabarani sembuse hiyo Sgr tembo mweupe?

Mwisho Barabara zinafungua na kuchochea uchumi,reli bila kuwa na Cha kusafirisha ni mzigo mwingine
 
Jamaa unazingua sana
 
Jamaa unazingua sana
Nazingua au wewe ndio una interest zako na Sgr? Nimekwambia kama reli ni muhimu Kwa nini imeshindwa kuondoa Malori Barabara ya Tanzam?

Wewe Kwa akili Yako Kuna mtu ataacha kupanda Bus eti Kwa sababu ya Sgr? Mwendokasi imeondoa daladala mjini?

Jenga Barabara kwanza zifufue uchumi ndio ujenge reli,hakuna mkoloni alijenga reli Kwa sifa kulikuwa na project walizozilenga
 
Ww akili yako bado finyu sana hakuna mtu anakataa barabara usijengwe ila usituambie hapa kua reli haina umuhimu ondoa hilo pepo kichwani mwako, nchi zote zilizoendelea reli ni kichocheo kikubwa sana kwenye uchumi wa nchi, barabara lifespan yake unasema ni 10yrs lakini ndani ya 5yrs kuna viraka kibao vinazibwa ambazo ni pesa zinatunika tena,

Ww usituambie sisi reli haina umuhimu never ever tena kwa population inavokwenda tanzania reli itahitahika kila mkoa

Nenda kaangalie reli ya pugu inaondoka na watu wangapi kwa trip moja unaeza fananisha na barabara hapo??😅😅


Eti barabara zinachoka kwasababu ni chache nimecheka sana alooo🤣🤣🤣🤣
Kama ulisoma ww nenda kadai ada yako bro

SGR itaishi miaka 100 baada ya miaka 30 tanzania itakua na population ya watu zaidi ya 100m haya nipe majibu hapo??🤣🤣🤣
 
Reli zinajengwa baada ya kuwa mtandao wabarabara umeimarika Kila sehemu na kuchochea uzalishaji.

Kujenga reli kabla ya kuimarish mtandao wa Barabara ni upumbavu Kwa sababu reli hai stimulate production Bali inaenda ku transport kitu ambacho kipo tayari.

Sasa mnajenga Sgr huko Kigoma,Mwanza sijui Burundi Ili ikabebe nini? Hamjifunzi hata Kwa wakoloni?

Mnakoelekea mtaanza kuleta utoto wa kusema usafiri wa treni ni Huduma sio biashara hapo ni baada ya mahasara ambayo yatatulemea hapo baadae.

Unakula hasara kwenye ujenzi na kunakula hasara baada ya kuanza operations.Hata mtetee vipi na mtukane vipi hiyo ni blander itakuwa ya kupigia picha tuu humu ila ni useless na tembo mweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…