babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,453
- 36,098
Hadi tshirt za chama cha Jubilee. 😂😂😂The only shit available ni Blue Band tu which is also not yours, usijifariji eti zimejaaa 🤣 🤣 🤣, Tuliona hadi T shirts za SGR yenu zina logo ya TBS.
Angalau unajua nembo ya kebs inavyokaa, kuonesha bidhaa kutoka kenya zimejaa kwenye supermarkets zenu.. wengi wetu huku hatujui hata nembo ya Tanzania standardization inavyo fanana
Ni midomo tu ndio wanayo , macho hawana 🤣🤣🤣🤣Hadi tshirt za chama cha Jubilee. 😂😂😂
View: https://x.com/one_malinga/status/876414244878565378?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Nina mda sijafatilia update ya SGR Progress Video. Kumbe kipande cha Morogoro-Makutupora almost kimeisha.
Video ya September hii
View: https://youtu.be/zSauMyOI2eU?si=HR6CwmdHCztNsbB6
si uzitaje hizo nchi nyingine...!!! Sema Kenya itakuwa ikihangaika na vitu kama BRT na electrical SGR!Kujenga mradi wa SGR sio masihara hususan ya umeme. Huko mbelen tukiwa tunaangaika na subways nch nyingine za kiafrika zitakua ndo kwanza zinaanza kujenga sgr ya umeme in short tutakuwa miles ahead
Sasa watakosaje wazee wa BRT ONLY😂😂si uzitaje hizo nchi nyingine...!!! Sema Kenya itakuwa ikihangaika na vitu kama BRT na electrical SGR!
Mwiba wa mombasa port na hii ndio kazi ya roro bearth nilisema wakipata roro bearth mombasa wanitag nifunge acc mamaee😅
Wewe hili umekazania sana labda kwakua na something against him.Hata JPM alikosa maarifa jinsi ya kuitoa Tanzania kwenye hiyo mikataba! Tena tutalipa sana fidia kwa ukurupukaji wake!
Hata JPM alikosa maarifa jinsi ya kuitoa Tanzania kwenye hiyo mikataba! Tena tutalipa sana fidia kwa ukurupukaji wake!Wewe hili umekazania sana labda kwakua na something against him.
Ni hivi, maarifa gani unaongelea hapa?
Hizi hapa ni aina tofauti za uvunjaji mikataba: Performance of responsibilities, Expiration, Breach of Contract, Termination for Convenience, Force Majeure, Insolvency, Rescission of an Agreement.
But only kama ni moja ya vipengele vilivyo orodheshwa kwenye mikataba. Mikataba mingi kama huu wa bandari ni wa lifetime na hauna vipengele vya uvunjwaji kwa mujibu wa mkataba.
Sasa kama hakuna vipengele hivyo vya uvunjwaji ndani ya mikataba, unabaki na options mbili tu: Mutual Agreement or conflict.
Sasa kwenye mutual agreement ni lazima hela itoke kama compensation or incentives kuwalainisha jamaa waachie, ama muingie kwenye conflict kwa kuvunja mikataba isiyo na ukomo wala vipemgele vya uvunjwaji ambapo ugomvi unaishia mahaka za kimataifa where all parties have a chance za kushinda kesi.
IMEVUNJWA kwa sababu ya ushenzi wa Kikwete aliyeingia mikataba ya kujuha, na TUNALIPA kwakua Mafisadi, genge la Kikwete hawapeleki team ya ushindi mahakamani, yaani wanauza mechi ili tulipe, wapige hela na AKILI ndogo wabaki kumlaumu MAGUFULI.
Cheap labor costs… pesa za mandafu…. 😄😄Ni midomo tu ndio wanayo , macho hawana 🤣🤣🤣🤣
Tueleze hayo maarifa basi na sisi tupate kuelimika. Tupe hayo maarifa ndugu.Hata JPM alikosa maarifa jinsi ya kuitoa Tanzania kwenye hiyo mikataba! Tena tutalipa sana fidia kwa ukurupukaji wake!
kufuata the rule of law yaani arbitration na si kubadili sheria kirejareja wakati mikataba inalindwa na sheria za London/kimataifa! Ule ulikuwa Ujuha kufikiria hawatamsakama!Tueleze hayo maarifa basi na sisi tupate kuelimika. Tupe hayo maarifa ndugu.
Nasubiri.
Sorry my dear sister 👇Raisi wa Bongolala akijaribu sana labda akutane na Museveni.
I don't think she knows there's even a meeting in China.
Ruto cha kwanza ni kutafuta waekezaji.
Serikali ya China ni secondary, and he has indeed met Xi today.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1714621420297212187