mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,523
- 6,936
My village is now 💯 urban suburb…I can’t wait to see how Kenya looks like in 10 years.. MashaAllah…View attachment 2783024View attachment 2783025
Hii village inakaa kuwa na nyumba za tope!? Tanzanians should know Kenya is developing very fast. Some villages are starting to look like urban suburbs
Hawatoandaa AFCON amini kwamba mkuu.Kama watasubiri PPP 🤣🤣 wataendelea kupost hiyo render until 2027 ..
Hamtojenga uwanja wowote, hamto renovate uwanja wowote na wala hamtoandaa AFCON.Instead of focussing on your side and wondering if your proposed stadiums will be built, you're still obsessed with Kenya.
Ikiwa kauwanja kenu kasarani kana uwezo wa kuingiza watu 40k tu waliokaa kwenye hizo cement na haujai hata ikichezwa derby, je uwanja wa 60k spectators mtaujaza lini?Ghost aje?
Rugby league is strong remember,.that's the main point why inajengwa mostly
Waturuki ndio wanaovesha ulaya kwa sasa
Waacheni wapost hizo ghorofa za 20 floors zinazojengwa eastleigh n.k while TZ ghorofa km hizo zinajengwa nje ya mji kama mbezi beach,mbweni n k maana hawana miradi ya maana ya kuipost,imagine kunyalazy ndio wangekua kwenye miradi ya mwendokasi phase 2,3 na 4 na mradi wa bwawa la nyerere jf server ingejaa vipicha vya hiyo miradiSasa kwaakili yako finyu,kila mtu akisema apost ujenzi unaoendelea kwenye nchi yake ama jiji unadhani kutatosha humu,
Au unahisi mnaojenga ni nyie pekee,wacha kujifurahisha kwa kupoteza mda
Inferiority complex kwa waarabu inaziba macho yako manake sioni kitu cha maana.Anyways mimi ni moja kati ya waumini wakubwa wanaopenda kujua nini kinaendelea katika nchi zingine Africa, juzi nikaiona hii South-North Algerian highway 6 lanes road with the total length of 2000km .. it includes tunnel which stretches 9.6 km and 2.9km road bridge. 👇View attachment 2783080View attachment 2783081View attachment 2783082View attachment 2783084.. kuna vinchi nadhani visubiri tu gidipii iwataje above others lakini ni ukweli kwamba havijiwezi. 🤣🤣
Wakati mnafungwa na Kenya kwa miaka 15Tunaposema linapokuja suala la sports infrastructure hapa East Africa mtuache maana tuko kwenye ligi yetu wenyewe.
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100077976081251/posts/pfbid0Q5iXhFmyU9Ffd8Nt5CQcTqit7g4nX7jWy3SP4m6uqRTLZfcmLtbqEeHWMJucUXEwl/?mibextid=Nif5oz
Hii itajengwa lini?….Musiwaambie Zanzibar's domino towerView attachment 2783244
Hio tuliambiwa na mitanzania itajengwa Zanzibar lakini mpaka Leo hamna loloteHii itajengwa lini?….
Bongolala, kati ya hiyo Pangani interchange unayokejeli na hii hapa iliyo na uswazi ni gani kana kaujuakali pembeni?Vumbi Nation, always jua kali. Hamjawahi kujenga kitu perfect kisicho na kaujuakali pembeni yake.
Unalinganisha vipi pangani interchange na Ubungo interchange mzee.? Kwanza huko kwenu kunakaa vumbi mtindo mmoja.Bongolala, kati ya hiyo Pangani interchange unayokejeli na hii hapa iliyo na uswazi ni gani kana kaujuakali pembeni?View attachment 2783246
Pangani interchangeView attachment 2783250
Angalia aina ya mpangilio na nyumba zinazozingira hizo barabara mbili kisha tupe jibu
Kwahiyo hiyo picha ya pili ni kigamboni.? Au unataka kujifurahisha tu.?Kigamboni city, musiwaambie wakenyaView attachment 2783247NowView attachment 2783248