The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kwanini Al ahly ije Tz na sio nchi za ukanda wenu wa kipuuzi wa East Afrika?Wanakuja kwasababu ya influence ya Al Ahly sio nyinyi makapuku mnao fungwa na Kenya kwa miaka 15. Endeelea kujifariji utapoa tu!
Utaskia "Kama Paris mwanangu"Hii steel flyover ingekuwa Dar humu ungekuwa unaskia kila mtu eti 'Hakuna kiricho Kenya kisicho Bongo'" 🤣 🤣
Kawaulize CAF mimi upuzi wenu hauni husuKwanini Al ahly ije Tz na sio nchi za ukanda wenu wa kipuuzi wa East Afrika?
Mbona umejaa hasira kipreborn kipchirchir?😁Kawaulize CAF mimi upuzi wenu hauni husu
Sasa Al ahly ije huko Afrika mashariki kusiko na mpira ifuate nn kwa mfano, itacheza na nani? Gor mahia? Itacheza na sports club villa? Mbn level ni tofauti kabisa, ni kama usiku na mchana. Al ahly kwa sasa ukisikia inakuja kwenye huo ukanda wenu wa kipuuzi wa East Afrika mnaotulazimisha tuwemo basi juwa kwamba itacheza na either Simba or Yanga na si vinginevyo.Kawaulize CAF mimi upuzi wenu hauni husu
Wao wapambane na mambio ya mita 10,000 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbona umejaa hasira kipreborn kipchirchir?😁
So, hii hotel inakuwa very active kipindi cha sabasaba, simba na yanga day mwaka mzima?Huyu FIFA president ndani ya mwaka anakuja mara ya tatu! Kuna watu walikuwa wanapinga Hoteli in proximity to Lupaso stadium na huku kuna Sabasaba grounds na bandari in proximity pia!
By the time AFCON comes around, with the planned horizontal infrastructure upgrades, Nairobi will look like a major city in the US….. visitors will be swept on their feet… whereas on the other side in the southern neighbor, visitors will be shocked by the Uswaziland especially from the Airport all the way to Mkapa stadium surroundings,. There are no plans to change that…. Yet around soon to be constructed Talanta stadium, private sector has plans to make that area first world country…. Anyone seen the new Ngong road area master plan?… please post it here… and someone thinks CAF won’t notice that… Finals ni Nairobi, wapende wasipende…even the next World Cup iko Canada, US and Mexico… but the finals ziko US despite Mexico being a better football nation…. Economic power matters…. Period!Another unkown 20 floor building under construction in Nairobi. Yani majengo ni mengi hata hatujui majina yao
View attachment 2782329
Private sector in Kenya on fire 🔥🔥🔥 all over the country…. They are sitting on liquid cash , maybe they should lend to the government…..Kenya middle class is bigger than the official records….. you can’t even buy a dream residence especially in posh suburbs unless you time it perfectly…. Zinaenda kama jugu karanga …😄😄Progress now at 4th floor
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/watch/?v=984579459293185
With all these highrises coming up I doubt there is any other African city that matches Nairobi, not even Joburg since they have mostly single dwellings rather than apartments. Nairobi is becoming the African Sao Paulo, tall residential buildings everywhereBy the time AFCON comes around, with the planned horizontal infrastructure upgrades, Nairobi will look like a major city in the US….. visitors will be swept on their feet… whereas on the other side in the southern neighbor, visitors will be shocked by the Uswaziland especially from the Airport all the way to Mkapa stadium surroundings,. There are no plans to change that…. Yet around soon to be constructed Talanta stadium, private sector has plans to make that area first world country…. Anyone seen the new Ngong road area master plan?… please post it here… and someone thinks CAF won’t notice that… Finals ni Nairobi, wapende wasipende…even the next World Cup iko Canada, US and Mexico… but the finals ziko US despite Mexico being a better football nation…. Economic power matters…. Period!