Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This Nairobi in 2 years to come, I wonder!!! Construction of high-rise buildings all over. Together with the affordable housing projects, 5 years time, Nairobi will be among the greatest cities in Africa
Where are they??🤣🤣🤣 misitu ndio hua inaonekana
 
You can take a person out of a village, but you can't take the village out of a person, in that sense it doesn't really matter where we're at on this beautiful planet of ours, we all eat, shit and die!
The irony in your statement is that you forget to tell this to your fellow countrymen who "floss" here everyday posting their personal belongings; the wristwatches, bicycles, etc. Mkenya akipost kuhusu maisha take that's where you draw the line. What a waste!!
 
Kuna uswazi 😂😂
 
South C panazidi kunoga. Meanwhile, kule Ubungo interchange uswazini hadi pembezoni mwa barabara, yet this is is the project watanzania hufurahia sana humu ndaniView attachment 2781668
Hiyo inaitwa three level interchange, hamjawahi kujenga kama hiyo from the scratch, zaidi ya kuungaunga tu ilimradi mshindane na Tanzania 🤣🤣🤣🤣

But again, hilo eneo limeshabadilika hivi tunavyoongea, nkipata picha mpya nitaiweka humu, hizo nyumba zimeondolewa now, hapo ni pamoto sana kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…