Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You have been bridging the gap since 2003 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yes that why we are growing faster than you. Kwani wewe nyumbu unaonaje?
 
Yes that why we are growing faster than you. Kwani wewe nyumbu unaonaje?
Ni sawa nyie endeleeni kungoja 2030 ndio muwe powerhouse πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Lakini kwa sasa we are ahead of you na sisi ndio poerhouse, continue working hard on bridging that gap.
 
Ni sawa nyie endeleeni kungoja 2030 ndio muwe powerhouse πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Lakini kwa sasa we are ahead of you na sisi ndio poerhouse, continue working hard on bridging that gap.
Ni just 7 years Wala sio miaka Mingi mtaanza kutusalimia Shikamoo πŸ˜†πŸ˜†
 
We have the capacity and resources ndio maana tuna miradi ambayo Kunyaland nzima hamtakuja kuwa nayo Hadi wanakuzika
Mmekuwa na hizo resources tangu kitambo yet we still beat you with no mineralsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. In fact, you should be ashamed of yourselves. Our most valuable mineral is soda ash, hiyo ni chumvi in simple terms, yet we still beat you with all your mineras and so called resources
 
90% imetoka Source ipi? 😁😁😁😁
 
Tukutane 2030 when you will be a worthy competitor πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Characteristics of Kenya Paper GDP
-Regular hunger
-Mass unemployment
-High cost of living demonstrated by numerous maandamano kutoka Kwa Raila
-High Tax rates/Tax burden(No say World bank inawapangai)
-Dollar shortage inategemea kutoka Tanzania
-Debt burden( mbioni kuwa buncrapty)
-Nabii Ruto kulalamika na kulia Lia Kila siku
-Tribal and political conflicts
-High crimes rate yaani hapa Alshaabab wanajioigia wanavyotaka

Just to mention the few πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Sijakataa. Tukutane 2030

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…