ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Unashida wewe! Ukubaliane na nani?Tukubali uongozi wa sasa aidha unaukimbukeni wa kubabaika na vya nje au kuna madili ya kifisadi.
Kitu Topestan!Kericho is getting an airstrip
View attachment 2780064
Ajabu ni kwamba nairobi hakuna maji 🤣🤣Waste water treatment plant at Konza City. Nothing is being left to chance.
View attachment 2780057View attachment 2780059View attachment 2780060
Alaf unajisifu kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣Kericho is getting an airstrip
View attachment 2780064
Mulidanganywa na nani??🤣🤣🤣🤣This the largest fish producer in East and Central Africa and it’s located Ushago…
View attachment 2780122View attachment 2780123
haahaaa we ni fala uliza ujibiwe hilo ni eneo la chuo cha udsm unataka vijana wakae jangwani turkana?Dar es Salaam yetu ni kubwa..... Nairobi ni pori. Dar yenyewe sasa
View attachment 2780051
Ukibakiane na nani? Nyie ambao hamkuwa na ulimbikeni kipi Cha maana mlifanya zaidi ya kuharibu mahusiano na kuleta uhasama Kwa Kila jirani?Tukubali uongozi wa sasa aidha unaukimbukeni wa kubabaika na vya nje au kuna madili ya kifisadi.
Hii ingekuwa Huwa Nakuru,ingeitwa Nakuru International Passenger Terminal 😁😁😁😁
Tanzania is just a mare Bus stand 🔥🔥
View: https://youtu.be/4c1LLMvAF0E?si=y0IV8aNxVnO8D6OG
😂😂😂 Kwahyo kwa mujibu wa wewe hapo ndio mwisho wa DAR au.? Mpuuzi mmoja wewe 🤣Dar es Salaam yetu ni kubwa..... Nairobi ni pori. Dar yenyewe sasa
View attachment 2780051