Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Badala ya kuongeza utaalamu na kuongeza ufanisi kama alivyofanya Magu, wanaleta hosptali ya India, hizi ni akili kisoda za mama Abduli.
Wewe hakuna Rais aliyeongeza hicho unachoita utaalamu kumzidi Samia ndio maana Leo hakuna Cha Rufaa za Nje ya Nchi.

View: https://www.instagram.com/p/CySyzXAq0d-/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Lengo la Tanzania ni kuwa na medical Tourism hub ya Afrika hivyo private sector sanjali na Public hospital zinakwenda Kwa pamoja.

View: https://www.instagram.com/p/CyS0uT3KAj7/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Unataka kujua? Soma hii hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/CyS3DGSKgWm/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Wewe hakuna Rais aliyeongeza hicho unachoita utaalamu kumzidi Samia ndio maana Leo hakuna Cha Rufaa za Nje ya Nchi.

Lengo la Tanzania ni kuwa na medical Tourism hub ya Afrika hivyo private sector sanjali na Public hospital zinakwenda Kwa pamoja.

View: https://www.instagram.com/p/CyS0uT3KAj7/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Unataka kujua? Soma hii hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/CyS3DGSKgWm/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Mara hii umesahau vifaa tiba vilivyonunuliwa awamu ya 5 pamoja na kuongezwa kwa ujuzi wa kiganga? Tulishafanya upasuaji wa moyo, kubadilishwa figo, watu waliacha kwenda India kufanyiwa upasuaji (si sisi tuu hadi majirani zetu), ya nini kuileta hiyo Apolo kama siyo ulimbukeni?
 
Mara hii umesahau vifaa tiba vilivyonunuliwa awamu ya 5? Tulishafanya upasuaji wa moyo, kubadilishwa figo, watu waliacha kwenda India kufanyiwa upasuaji, si sisi tuu hadi majirani zetu, ya nini kuileta hiyo Apolo kama siyo ulimbukeni?
Vilinunuliwa ila sio Kwa wingi kama awamu ya 6.Kwamba umesahau.pesa za covid zilivyoleta Mageuzi Nchi hii? CT Scan Mikoa yote,MRI Rufaa zote,Wilaya zote Kuna X rays na full equiped emergency buildings.

Kazi inaendelea huku 👇

View: https://www.instagram.com/p/CyLutXvqFya/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Mara hii umesahau vifaa tiba vilivyonunuliwa awamu ya 5 pamoja na kuongezwa kwa ujuzi wa kiganga? Tulishafanya upasuaji wa moyo, kubadilishwa figo, watu waliacha kwenda India kufanyiwa upasuaji (si sisi tuu hadi majirani zetu), ya nini kuileta hiyo Apolo kama siyo ulimbukeni?
Kwahiyo investments za private sector zikataliwe?
 
Vilinunuliwa ila sio Kwa wingi kama awamu ya 6.Kwamba umesahau.pesa za covid zilivyoleta Mageuzi Nchi hii? CT
Pesa za Covid zenye masharti ya kuchanja chanjo zinazoleta turbo cancer na myocarditis? Kama walikuwa na nia njema, kwa nini walilazimisha watu wa saini kutoishtaki serikali endapo watapata madhara?
 
Pesa za Covid zenye masharti ya kuchanja chanjo zinazoleta turbo cancer na myocarditis? Kama walikuwa na nia njema, kwa nini walilazimisha watu wa saini kutoishtaki serikali endapo watapata madhara?
Hizo hizo Zenye masharti ndio zimeleta Mageuzi makubwa kwenye sekta ya Afya.

Majengo kama haya yamejengwa Nchi nzima hospital zote za Mkoa,Wilaya na Baadhi ya Vituo vya Afya na yote yaba vifaa vya Kisasa kabisa Kwa Ajili ya Huduma za dharura.

View: https://twitter.com/nasra_uchebe/status/1712031458452238841?t=SdyFcf_mzo0mnLK1ipQ53A&s=19
 
Hakuna cha ajabu hapo, tulisha jenga hospitali kubwa tuu kama ile ya Mtwara bila ya hizo pesa za masharti ya kukubali watu wetu wapate turbo cancer.
 
Hakuna cha ajabu hapo, tulisha jenga hospitali kubwa tuu kama ile ya Mtwara bila ya hizo pesa za masharti ya kukubali watu wetu wapate turbo cancer.
Washabiki Mwendazake mna matatizo makubwa sana,ukiacha kwamba hakuna mradi mliomaliza Samia ndio katoa pesa nyingi kuliko miradi yote mliyoanzisha.

Yaani kiufupi mlikuwa mnakurupuka wakati hata kutafuta pesa hamjui.

Unataka ushahidi? Soma hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/Cxh5BP0quum/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Kwa nini hawakufanya hiyo investment wakati ule wabongo kibao walikuwa wanakwenda India?
wewe inakusu nn kuhusu business decision zao kama wameona wagonjwa wamepungua kwavile kuna gharama kuwafuata India na kuamua uafuata kwa kufungua branch nchini?
 
Mkifanikiwa kujenga huu uwanja wa 60,000, nawapa hongera sana.

Huku bongo, kwenye mji mkuu Dodoma; katikati ya nchi, wapuuzi badala ya kujenga uwanja wa atleast 60k wanajenga wa 30k 🤮
Best 007 low IQ will report you to his CCM masters… how dare you raise that question…🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom