Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Its TPA and PSPF owned by govt...magufuli won't built any soon so we expect less from dar in the coming yrs
 
throwback thursday:
tujikumbushe zile nondo za siku za nyuma.
halafu ma-youth wengi wa nairobi wanalala sitting room kutokana na uhaba wa vyumba ktk baadhi apartment.

hii hutokea pale baba anapolipia apartment ya two bedroom halafu ana watoto watatu au wanne wa kiume na kike.

katika situation kama hii,Mara nyingi mtoto wa kiume huamuliwa kulala sitting room.

"wa mwisho kulala wa kwanza kuamka".
I saw this with my own eyes last year when I visited one family in nairobi.so shame...imagine

NB:
ifahamike kuwa ni wakenya wachache sana wenye uwezo wa kulipia three bedroom apartment.
kupata apartment ya ndoto yako jijini Nairobi ni very expensive.itabidi ulipie pesa nyingi.
minimum price for a beautiful 3bedroom apartment in nairobi is ksh80000 to ksh100000 per month.
hiyo ni pesa nyingi sana sio masihara.

hapo ndio unakuta baadhi yao wanalazimika kwenda ku-rent house kwenye maeneo duni kama kibera,mathare,mukuru kayaba nk.
 

Wanadai tuna Tower mbili yet, wao mpaka wamalize kuchimba mafuta baada ya Miaka mitatu Au lminne ( Pinnacle 1& 2, Avic 1,2 & 3, Montave 1&2 watakua Bado wanatembelea kichwa Kwa Number of Highrises over 30 Kwa DAR, Sasa sijui Nani hapo ana Tower mbili Kwa sasa .
 
Hawana hoja. ..
Nawafahamu MNF tower 30 ×2 Mwakani linakua tayari
Mzizima tower 35,33flr mwakani
ppf tower 35flr mwakani...
Nyumba tano Za nguvu ziko mbioni kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…