Hata mashujaa FC new comers to NBC premier league wanaingiza pesa ndefu kuliko hizo.Gor vs Afc Leopards over 3M Gate collection. That is about 60M Tsh
View attachment 2776544
Hata mashujaa FC new comers to NBC premier league wanaingiza pesa ndefu kuliko hizo.Gor vs Afc Leopards over 3M Gate collection. That is about 60M Tsh
View attachment 2776544
Waje hapa watuambie vile viti wanavyosema wameweka humu uwanjani viko wapi?Gor vs Afc Leopards over 3M Gate collection. That is about 60M Tsh
View attachment 2776544
View: https://www.facebook.com/photo/?fbid=579113502115959&set=ecnf.100081157105777
Tujikumbushe tyu hahahahaaaaaaaaa
Harambee Stars off to Turkey. They will play a friendly match with Russians in Turkey
View attachment 2776539View attachment 2776540
View attachment 2776542
Wameenda kufanya nini huko wakati hampo kwenye michuano yoyote, ufisadi tu umefanyika hapa ili watu wapige pesa, nchi yenu ni fukara, hamna pesa hata za kujilisha lkn ufisadi kila sehemu.Harambee Stars off to Turkey. They will play a friendly match with Russians in Turkey
View attachment 2776539View attachment 2776540View attachment 2776542
Tangia 2012 hawajatufunga dah hii ni aibu sana 🤣🤣🤣🤣
Sasa wewe Kama mtanzakundu mambo ya harambee stars yana kuhusu vipi.Wameenda kufanya nini huko wakati hampo kwenye michuano yoyote, ufisadi tu umefanyika hapa ili watu wapige pesa, nchi yenu ni fukara, hamna pesa hata za kujilisha lkn ufisadi kila sehemu.
mngekuwa mnaenda afcon sio mbaya sema hapo wanaenda kuchukua ngada ya wakubwa.Sasa wewe Kama mtanzakundu mambo ya harambee stars yana kuhusu vipi.
Hakuna ushindani hapa, tumekuja kuwa kumbusha tu!kusingekuwa na ushindani humu kama una mawazo ya hivyo kakae na bibi yako geto umwangalie usoni huku wanakaa wanaume wenye kuwa na vifua.
kuwakumbusha alieyuliza swali kaulizaje na kapewa evidenc alafu kairuka mlitaka mpewe jib gan ama mliuliza msijibiwe? Anyway hatuko level moja kwenye soka kwa sasa nyie labda mbio na mpira wa langalangaHakuna ushindani hapa, tumekuja kuwa kumbusha tu!