Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Hii picha hawaipendi kabisaš
CCM ime-strategize kumpamba huyu Maza na vijana wengi wa hovyo wamepewa majukumu haya. Vijana wengi wameona kama ni fursa ya kujipatia teuzi jambo linaloleta taharuki kila kukicha.
kazi za kweli haziitaji upigaji debe, zinaonekana.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1711407055825756384?s=20
Huwa wanapiga ground level inaonyeshe Ile line ya vigorofa hapo eti wanacaption 'kama Paris vile'šHii picha hawaipendi kabisaš
View attachment 2777006
We are so developed nation than you, we have all the signs to be called a developed country, you have nothing to brag about to us.Woow!⦠that gap between Kenya and Bongo exploded since early 2000sā¦.and still growingā¦. Whatās their excuse?ā¦ššš
Ndio hii mnafananisha na mv mwanza? Alafu bendera yenu ya taifa ina rangi mbaya zisizopendeza machoni.This ship built by Kenyans and the view of Kisumu is just scenic
View attachment 2776998View attachment 2777000
Kama Tokyo mwanangu ššššš„°ā¤ļøHii picha hawaipendi kabisaš
View attachment 2777006
Binafsi Huwa siwaamini kabisa watu wa maofisini,wawe wanashirikisha hata kupata public view kabla ya kufanya jambo.Hiyo running track waibadilishe iwe ya blue, majitu yaliyopewa dhamana hayajiongezi kabisa.