Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20171115_055423.jpg
 
Huwa Sipendi Kubisha na mpumbavu
alie zaliwa kwa bahati mbaya na kuishi kwa makusudi

Nakuru Uchafu mtupu
Wadanganye wapuuzi si mie
Kenya Nimeishi na naijua sana
Yah!! Wayatoa wapi maneno wemtu!!
 
ila mkuu udongo wa kenya ni mbaya aise.yaani nyumba ya gharama inaonekana kama zizi la chanjo ya ng'ombe.

You kenyan huu udongo ni wa kilimo ya migomba,haufai kuweka vitu safi vitachafuka.
Ahahahahahaaaa ! , ugly & reddish soil makes those lavish palaces over there looks like all times spiteful Nairobis slummy cabins
 
niliishiwa au mpaka dakika hii hujielewi uko level ipi endeleeni kupika data😀😀😀😀😀 ila mbongo huwez mdanganya hata siku moja
Kuzushana na kilema ni ngumu juu ana feel ako inferior... That applies to you...inaitagwa inferiority complex
 
Back
Top Bottom