ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,262
Ipi iyo mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio hivyo mkuu, Halafu mbona sionI post yangu, au wameifuta 🤣
Hii hapa , siioni tena zaidi ya kwa waliyo iquote , Muhusika mwenyewe aliniquote mara kadhaa na akihusisha na Wikipidea 😂😂😂😂😂, Kwani Wikepedia ipo hivi? 😂Ipi iyo mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ww ulitaka niwe nani ???🤣🤣🤣🤣🤣 nilijua lazma utanichukia tu so naww umejiunga na zwazwa kunichukia au?😅Kumbe wewe ni Mwarabu….😁😄😄View attachment 2770142
Acha uongo, hii nyumba kaitumia your former Chief Spy James Kanyotu, Aliiba kwa a former British National na imetumika pia kama HQ ndogo ya Ujasusi hapo Kenya.We bana, acha kujibenua hapa, wewe ungekuwa kama hawa wakenya ungeringa kiasi gani!?
Nikupe mfano, hii nyumba ya mkenya hapo Tigoni, hata si Nairobi, kijijini. Bongo hii itakuwa ni hoteli ya kifahari. Hapa nyumba ya mtu
View attachment 2769870
Anapiga part time kama mfua mashuka wa hotel ndio umeona kale ka business card…….katika maneno kumi ya Mkenya chukua………..😅😅😅😅😅Eti kasema yake kumbe dereva wa malori anakuja kuwaongopea wakenya wenzie humu🤣🤣🤣🤣🤣
Sio kumi bro kwenye maneno elf moja chukua moja tu na pia usilale kabla hujalitafakari hilo neno moja🤣🤣🤣Anapiga part time kama mfua mashuka wa hotel ndio umeona kale ka business card…….katika maneno kumi ya Mkenya chukua………..😅😅😅😅😅
Si wewe Ulisema a while back that naishi Kibera and you swear unauhakika….so you can’t have your cake and eat it too… ama hio Kizungu ni ngumu?…. 😄😄Nilifikiri utasema upo nyumbani kumbe unajivunia kwa watu, we kweli matako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣