Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The one watamu, kilifi inawatoa kijasho🤣
images-31.jpeg
images-33.jpeg
images-30.jpeg
images-32.jpeg
 
Wanafaa wajiuluze sana ni kwa nini these organizations are choosing Nairobi over their glorified fishing Village
Uwepo wa hizo organization umeondoa njaa Kenya?
Je, umeondoa mauchafu Nairobi?
Je, umeondoa umaskini Kenya?
Je, umeondoa ma slums Kenya?
Je, umeondoa unemployment ya kutisha kenya?
Je, umeondoa tribalism Kenya?
Je, umefanya Kenya isizidiwe maendeleo na Tz?
 
Kiwanja cha Dodoma yule mkwe wa samia ingawa simpendi, lakini pale kaitendea haki nchi. Kwa ubora ndani ni zaidi ya Emirates, mi sikupenda tu idadi na uchache wa watu 30 thousand lakini kwa ubora, haba Africa hakuna na vichache ulimwenguni.

Sijajua cha Arusha but given the ongoing marekebisho ya Uwanja wa taifa ambao utaisha July 2024 maana yake ni ukarabati wa nguvu na marekebishe mengi.

Sisi kama nchi tumepiga hatua kubwa kwenye mpira na moja ya ligi 5 bora Afrika hivyo tunayo experience juu ya aina ya viwanja tunavitaka kwaajili ya michuano mikubwa. Great advantage kuliko hawa wakimbia njaa.
Unaweza ku share picha za huo wa Dodoma mkuu, alafu uwanja wa taifa upi huo unaofanyiwa marekebisho mpk july 2024? Shamba la bibi au?
 
Nimefungua link nikapenda comments za Watanzania wanaojielewa. 😂 😂 😂

View attachment 2765432View attachment 2765433View attachment 2765434View attachment 2765435View attachment 2765436

Kila siku mimi husema humu, tofauti kubwa ya Tazania na Kenya ni expectation ya wananchi. Wakenya wana expectation kubwa mno from the government. Watanzania expectations zao zinakaribia zero ndio maana wengi wao wametosheka na serikali ila wanaumia saana. 😂😂
cc Geza Ulole
NDINDA
Chamoto
game over
No future in Kenya hilo ulijue, hata wewe ungezaliwa upya usingependa uwe mkenya.
 
Back
Top Bottom