Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In the near future, there will be no Kibera nor Mukuru
View attachment 2763108View attachment 2763109
Slums Kenya is everywhere and not only Kibera and Mukuru, usijiliwaze.
Screenshot_20230926-213039~2.png
Screenshot_20230926-212858~2.png
Screenshot_20230926-212835~2.png
Screenshot_20230926-212810~2.png
Screenshot_20230926-212745~2.png
 
70% ya East and central Africa sea trade hupitia Mombasa port… hio si Mimi , Mzungu ámesema…. Like you guys like to ask…. Sasa wewe na Mzungu Nani anaelewa Zaidi mambo hayo?….🤣🤣🤣🤣🤣
Na kunyan kitu akisema mzungu mnaamini!nasikia kuna tour guide huko kunyata kishawahi kumtoa mkewe aliwe na mzungu
 
Rais Ruto mchoyo🤣😁
Sio mchoyo, pesa hakuna kaka, ikiwa bingwa wa ligi Kenya anapata tshs 20m na bingwa wa ligi Tz anapata zaidi ya tshs 800m unadhani wanapenda hali iwe hivyo? Disposable income ni ndogo sana Kenya, haizalishi pesa hivyo kupelekea hata kwenye michezo kukosekana motisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

View: https://twitter.com/RothLindberg/status/1706305149138833697

Wanaomba poo live! Muziki wa Mrusi ni noma umetungua vifaru vyoote vya Leopard vya Mjerumani na sasa inawinda vya Abraham vya Mmarekani!

Huku nje tunachukua hiyo statement lakini wao wanjuana kwa nini mtu anasema hivyo.Technically vifaru vimetolewa kwa serikali ya Ukraine Urusi ni mvamizi hivyo hana haki ya kuharibu chochote kilichopo ndani ya Ukraine.But the warning has its own meaning.
 
14,000 affordable social housing units coming up at Mukuru - One of ichoboy01 favourite slums in Nairobi.
Tafuta hard drive. Save up on those pictures because in 10 years you'll have nothing to post.

This project alone can house close to 50,000 individuals, or roughly the population of Dodoma town 😂 😂 😂
And its not the only project.


View: https://twitter.com/WilliamsRuto/status/1706675370844368919


View: https://twitter.com/WilliamsRuto/status/1706674656445431927


View attachment 2763100View attachment 2763101View attachment 2763102

You mean this is Mukuru? Sasa mitanganyika zitapost nini jamani?😂😂
 
Woaaah! The speed of affordable housing projects is astonishing. This is just Mukuru, In 2025 Nairobi will be completely different plus the many others in Kibera, Pangani, Ngara, Shauri Moyo A & B. 👏👏👏
Hili vundo hamtakaa mliondoe kamwe. Tanzania hakuna sehemu kuna mazingira kama haya abadani, ukipata mazingira kama haya Tz nioneshe nifunge accnt jf. Kenya ni mavi bro 🤣🤣🤣
Screenshot_20230926-212544~2.png
Screenshot_20230926-212513~2.png
Screenshot_20230926-212858~2.png
Screenshot_20230926-213039~2.png
 
Back
Top Bottom