Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukilaza katika ubora wake! An apartment as I know it is a self-contained house that ocuupies ONLY ONE PART of a building, usually on a single level. In most cases, there are several such housing units within the SAME BUILDING on several other levels (or floors as we call them). Sasa niambie hii "apartment" yako uchwara iko na levels ngapi View attachment 2762746View attachment 2762746
Upumbavu unakusumbua! In case unataka kununua nyumba ya familia, utachagua hii ya kwenye picha au ile ya kwenye block ndani ya level floor flani?
 
Ukilaza katika ubora wake! An apartment as I know it is a self-contained house that ocuupies ONLY ONE PART of a building, usually on a single level. In most cases, there are several such housing units within the SAME BUILDING on several other levels (or floors as we call them). Sasa niambie hii "apartment" yako uchwara iko na levels ngapi View attachment 2762746View attachment 2762746
Acha kuchanganya neno apartment or flat na house. Houses are in TZ.
 
Serikali imeshindwa na mradi due to corruption. Watakuambia there's no corruption in Tanzania. After kuuza Bandari zote Sasa ni projects. Hii nchi yote itakuja uzwa.😂

3200160684817080360.jpg.png
 
Mlianza kusema asset zetu zitachukuliwa kuanzia 2012 huko. Since then, bandari zenu zote zimechukuliwa, projects zenu zimeanza kuchukuliwa yet sisi bado hakuna kilichochukuliwa. Wake up and smell the coffee bruh. Your authoritarian government is lying to you. Mazuzu ni nyinyi.
3200160684817080360-jpg-png.2762803
 
Back
Top Bottom