Hospitali yenye iko hadi na viti za sofaset na TV ndani? Mbona mnapenda kulazimisha mambo mibongolalala?peleka upumbavu that's a hospital in one of slums in Nairobi! Nenda kabishane na Ruto!
Huyo ni mjinga tu.Hospitali yenye iko hadi na viti za sofaset na TV ndani? Mbona mnapenda kulazimisha mambo mibongolalala?
👇👇👇👇👇peleka upumbavu that's a hospital in one of slums in Nairobi! Nenda kabishane na Ruto!
Even the Tweet says Kenyans will NO LONGER TRAVEL TO HOSPITAL for minor ailments. Kama ni hospitali, why is the Tweet saying the opposite? Hawa ni wajinga tu!Huyo ni mjinga tu.
Anasema hana nafasi ya kuitwa mweusi, kwamba anajua ndugu zake vile weusi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akothee amewakataa wakenya anataka awe karibu na watanzania 😅😅😅😅
View attachment 2761884
Kama huwa unaangalia tunapoweka video za Dodoma ungeona aibu kuwatag watanzania kwenye hii video, bro Dodoma iko mbali sana kwa sasa, Dodoma tayari imesha take off, majengo ya kisasa na barabara kila kona, ukimuonesha mtanzania alafu u brag about this atacheka sn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata Thika imeshinda hicho kijiji. Pengine walinganishe na Marsabit 😆😆😆😆😆Lol. Unacompare Dodoma - capital city, with an outpost of Nairobi? 🤣 🤣 🤣
Zima hio bangi.
Dodoma compare na Thika tafadhali.
Mimi nilijua tu lazima uje umpe somo uyo msenge, huwa wanajifanya hawana akili nzuri eti ki estate chao old fashioned ndio wanakiita cha 3 kwa ukubwa Afrika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣We pimbi Kweli we jamaa. Unataja hicho kinyayo estate kama estate kubwa zaidi Africa.? 🤣🤣 Kina host inhabitants 30k tu na ni old fashioned buildings zote.? wala usiende huko Egypt, SA wala Morocco .. huko si Africa kabisa, mana hao jamàa wanaeza shindana face to face na mataifa ya Ulaya... kilamba Angola Iko na gorofa 750 zenye floors Kati ya 5-13. Schools 24 . Retail stores 100.. it was designed to host 200k inhabitants. Pita hapa 👇"Quilamba - Wikipedia" Quilamba - Wikipedia. The best 007 njoo uone nnavyomvuta kende huyu kiazi.. 👇View attachment 2761918View attachment 2761922View attachment 2761925na hizi estate kubwa huku luanda zipo kama tano hiv au zaidi.. na hakuna hata estate moja within NAIROBI inaweza kaa kwenye sentence moja na estates za Luanda. Ukibisha twende ground