Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ata 10 years ni kidogo. Maybe 30 years na CCM ikue haiko madarakani
 
Hii ata 10 years ni kidogo. Maybe 30 years na CCM ikue haiko madarakani
Na hizo nimeweka hapo most of them ni outskirts za Nairobi in nearby counties. Sijaweka Nairobi areas like Westlands, Kilimani, Kileleshwa, Upper Hill, Nyari, Kitusuru, Lavington , Muthaiga, Riverside, Karen, Parklands etc πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Did you take into account that Dar real estate is ahead of Nairobi by 3bn USD or you just sputtered egotistical rubbish here.
 
We can rest this case when another professional report comes out lakini sio kwasababu ya vipicha vyako vya upande upande.
 
Ngoja nikusogezee hapa picha kwa kwa karibu zaidi utoe tongo tongo mzee .. πŸ‘‡halafu kwenye mradi huu kuna nyumba za aina mbili.. kuna hizi pia πŸ‘‡.. hii ni better kuliko zile boxes au nyumba za mbao mnapangisha huko US ... Sisi hatubahatishi mjomba.na quality ndio vitu tunapea kipaumbele 🀣🀣🀣
 
Ile uchafu wa langata hua hamuoneshwi humu ndani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡



Ile tatu city hua hamuoneshwi humu ndaniπŸ˜…πŸ˜…
 
Ile uchafu wa langata hua hamuoneshwi humu ndani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 2760394


Ile tatu city hua hamuoneshwi humu ndaniπŸ˜…πŸ˜…
View attachment 2760397
Ile uchafu wa Kinduchi huwa hamuonyeshwi humu ndani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†



Kinondoni hii one of the richest neighborhoods in Dar πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

 
At least AICC ijenge pia Conference Centre moja ya kisasa Mwanza as Dodoma itakuwepo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…