Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa is starting to beat DAR on infrastructure seriously
View attachment 2756490View attachment 2756491
Ndioo hii inayovuka sijui mto unaeza fananisha inayovuka ziwa for over 3.2km in mwanza 😅😅😅
IMG_4585.jpeg
IMG_4584.jpeg
 
Kenyan leagues are starting to have traction
View attachment 2756608
Viwanja vyenu vimekaa ki Africa Africa na mashabiki kwa ujumla wamekaa ki Africa Africa, situkani u Africa ila inafaamika jinsi waafrika wengi walivyokosa ustaarabu, hapo mtu akifungwa mara wang'oe viti mara warushiane mikojo. Hata mkao wao jinsi walivyokaa hovyo hovyo, mashabiki hata jezi za timu zao hawana, wachache tu ndio wana jezi na kati ya hao wachache wengi wao wana jezi za timu za ulaya ambazo wananunua kwa bei rahisi kwenye mitumba.

Sisi tushatoka huko, angalia mechi za ligi ya Tanzania mashabiki wamekaa kimpangilio, alafu viwanja vyenu havina taa, hivyo basi mechi zote zinalazimika kuchezwa mchana hata siku za kazi, hiyo inapelekea kukosa mashabiki wengi japo ukosefu wa pesa kwa wakenya wengi huenda ikawa ndio sababu kubwa.

Angalia hapa chini mashabiki wa Tanzania na viwanja vyetu vilivyo vizuri mpaka vina LED yani matangazo yanatembea tu, hivi vitu huko kwenu ni ndoto ya alinacha.
Screenshot_20230921-111532~2.png
Screenshot_20230921-111607~2.png
Screenshot_20230921-111700~2.png
 
Back
Top Bottom