Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi wakenya hamtuzidi kwenye STEM, na hii ni kutokana na misingi mibovu kwenye elimu yenu ya awali.
Hata wewe unajua STEM hamtufikii hata kidogo. All visitors that visit the two countries tend to find Kenya more technologically advanced than Tanzania. Ukiangalia in terms of tech startups, Kenya imezidiwa na Nigeria pekee in terms of volume. Nairobi iko ranked as Africa's most innovative city. Nairobi has the second highest number of tech hubs in Africa after Cape Town. So nashangaa hii STEM mnaongelea ni gani.
 
Hivi ni startups zipi mnazozipigia kelele maana mimi sizioni.

Naposema kuwa sisi tumewazidi kwenye STEM naongelea impact ya elimu yetu kwenye maeneo hayo, ndiyo maana madaraja na majengo yetu hayadondoki hovyo kama kwenu.

Tanzania tunaandaliwa kwenye STEM mapema sana, kuna baadhi ya shule zetu calculus inaanza kufundishwa toka form 3 (kwenye additional math). Sasa imagine kijana wa miaka 16 anafanya iterative methods za Newton Raphson akiwa form 4 kabla ya kwenda form 5 na 6, unafikiri huyu utamweza wakati wewe mkenya kwa mara ya kwanza unakuja kujifunza differentiation from first principal ukienda university?
 
Hivi ni startups zipi mnazozipigia kelele maana mimi sizioni.

Naposema kuwa sisi tumewazidi kwenye STEM naongelea impact ya elimu yetu kwenye maeneo hayo, mfano madaraja na majengo yetu hayadondoki hovyo kama kwenu.
Tuliwahi kuwauliza humu ni technology gani wanayo sisi hatuna hadi leo hamna jibu la kueleweka.
 
We are talking about ownership and shares😁
 
Hizo screenshot zako si chochote, maghorofa kudondoka Nairobi kila wiki inaonyesha wazi wakenya hamjui STEM.
You know China has the best Civil Engineers of the 21st century? Angalia vile majengo huanguka Shanghai. Tena, unasema Nairobi majengo yanaanguka kila wiki. Nionyeshe jengo gani limeanguka Nairobi huu mwezi, na mwezi uliopita. Hata huu mwaka nionyeshe, moja tu pengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…