The Other Delo
JF-Expert Member
- Sep 12, 2023
- 1,072
- 1,189
Video zipo nyingi online. Usingoje kutafutiwa kila kituNdio ulikua unatafta ako ka clip muda wote najua awafundishwi ni miosho tu iyo wewe dogo
Nyinyi kwanza hakikisheni kila sehemu ya nchi iko na umeme kabla muanze kufikiria maneno na codingVideo zipo nyingi online. Usingoje kutafutiwa kila kitu
View: https://x.com/LBNNGLOBALNEWS/status/1662414024301060096?s=20
Eti mandatory curriculum π€£π€£π€£Video zipo nyingi online. Usingoje kutafutiwa kila kitu
View: https://x.com/LBNNGLOBALNEWS/status/1662414024301060096?s=20
Hahaha, huku wenzenu kila siku wanataka niwatolee pesa from Paypal ππππMoney sending app π€£π€£ kwani NMB haina app? View attachment 2753104
Electricity Penetration (% Population):Eti mandatory curriculum π€£π€£π€£
Shule ngapi Kunyaland zina access to electricity?
SShule ngapi zina walimu wanajua coding?
SShule ngapi zina facilities za ICT?
WWanafunzi wangapi wana ICT devices?
Wazeee wa uongo na drama nani asie wajua hahhahaaaaaaVideo zipo nyingi online. Usingoje kutafutiwa kila kitu
View: https://x.com/LBNNGLOBALNEWS/status/1662414024301060096?s=20
Hawa watacode mavi yao πππNyinyi kwanza hakikisheni kila sehemu ya nchi iko na umeme kabla muanze kufikiria maneno na coding
Electricity Penetration (% Population):
Kenya - 76%
Bongolala - 36%
Wazeee wa uongo na drama nani asie wajua hahhahaaaaaa
Usiwe mjinga. Huku tech is a big thing and people are competing on who has better talent. People are coding for Microsoft and Google wakiwa hapa hapa tu Kenya. Did you know that Chat GPT was coded by Kenyan Programmers? When it comes to Technology msijaribu kujiweka na sisiBongolala - 36%
Wazeee wa uongo na drama nani asie wajua hahhahaaaaaa
Nilikuambia hao mbwa drama ni nyingi sana sifa na uongo kisado ila amna kitu apoHawa watacode mavi yao πππ
View: https://twitter.com/WanjikuHSC/status/1686120806420520960?t=OSpWJRoHnUcwbfQo11HDkg&s=19
toa media uchwara za uko X dogo sifa nyingi amna kitu
Usiwe mjinga. Huku tech is a big thing and people are competing on who has better talent. People are coding for Microsoft and Google wakiwa hapa hapa tu Kenya. Did you know that Chat GPT was coded by Kenyan Programmers? When it comes to Technology msijaribu kujiweka na sisi
Hizo sifa tunapewa ndizo huwa zinawafanya msikie wivu kwelikweli. Napenda sana. Sisi wacha tuendelee kupokea sifa πtoa media uchwara za uko X dogo sifa nyingi amna kitu
ASE AKIKISHA UMEKULA NDIO UONGEE NA MIMI KWANZA, PIA UNANUKA MDOMO alafi tz tech ni kitu cha kawaida sana na uwa atuna mbwembwe sana ila tunafanya silent ndio maana wakenya wengi mkija uku mnachanganyikiwa sanaUsiwe mjinga. Huku tech is a big thing and people are competing on who has better talent. People are coding for Microsoft and Google wakiwa hapa hapa tu Kenya. Did you know that Chat GPT was coded by Kenyan Programmers? When it comes to Technology msijaribu kujiweka na sisi
Mnachokiweza ni kufukuza billionaires kama Elon Musk πππ
Haya basi ni sawa ππππ. Hakikuisha kuwa umeenda ukalima maana leo sitaki kulala njaaASE AKIKISHA UMEKULA NDIO UONGEE NA MIMI KWANZA, PIA UNANUKA MDOMO alafi tz tech ni kitu cha kawaida sana na uwa atuna mbwembwe sana ila tunafanya silent ndio maana wakenya wengi mkija uku mnachanganyikiwa sana
Hizo sifa tunapewa ndizo huwa zinawafanya msikie wivu kwelikweli. Napenda sana. Sisi wacha tuendelee kupokea sifa π
These kids have higher IQ than your university students
View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1652686168087994371?s=20
ushahidi unao kwamba alifukuzwa au maneno ya kuambiwa wewe kuku majiMnachokiweza ni kufukuza billionaires kama Elon Musk πππ
hii habari ni ya masaa 20 yalio pita acha uchuro wewe