Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

For a developing country with less than 10% arable land how do you expect us to have enough food to feed ourselves?
Saud arabia ni 100% jangwa ila ndio wanatoa msaada wa chakula kwenu mbuzi nyinyi 😅😅

Arable land yote kenya iko chini ya wanasiasa na wazungu wanapanda maua wanapeleka kwao wanawaacha mafala nyinyi njaa inawamaliza kila mwaka alaf unaongea upuuzi gani hapa
 
Enda YouTube uone vloggers from all over the continent coming to Nairobi wakiita "The New York of Africa" Wala hawaji Dar es Salaam 🤣. All over Africa wanaita Nairobi the capital of Africa. Wivu utawamaliza
Lakini mko na shida ya umaskini sana😂🤣😁 mbona hata dar wanakujaga pamoja na zanzibar
 
They are the largest oil producer in the world. Again, you were saying?
So what?? Where is ur GDP ambayo hua mukijisifu nayo hapa??😅😅 ziko wapi zile industries na bank hua mukijisifu nazo??

Ile GDP hua munajisifu inasaidia nini kwenu au ndio iko kwenye karatasi kwa ground mambo ni jahannam 😅😅😅😅
 
Not someone from Dar talking about vumbi in Nairobi. In Dar, just a few kilometres from the city kuna dirt roads. Kwa main roads mmejaribu lakini interiors hata kwa estates there are still dirt roads. Nairobi hizo unapata huko Kitengela, nowhere near the city
Si kweli ushawahi fika dar
 
Lakini mko na shida ya umaskini sana😂🤣😁 mbona hata dar wanakujaga pamoja na zanzibar
😂😂😂😂 Zanzibar? Very overhyped. Diani is way better. Hiyo mnatuonyeshanga ni only 10%. The 90% is never posted. I was surprised we had to travel some other distance ati ndio tupate mahali white sand beach ipo Lmaoo 😂😂😂
 
😂😂😂😂 Zanzibar? Very overhyped. Diani is way better. Hiyo mnatuonyeshanga ni only 10%. The 90% is never posted. I was surprised we had to travel some other distance ati ndio tupate mahali white sand beach ipo Lmaoo 😂😂😂
Si kweli ujawahi fika zanzibar wew
 
Ulifika maeneo gani mbona hata mimi nilifika hapo kwenu kibera ni kuchafu sana na ni karibu na Nairobi 🤣🤣😂
I was in Masaki, apparently one of your "richest" neighborhoods. Huku Kenya, estates kama hizo ni za Middle Class. I would compare it to Buruburu
 
Wapi Kisumu international airport a fair comparison?

View: https://twitter.com/WizarayaUC/status/1702543766874189968

FzsmThKXoAA1YJn


VS



View: https://twitter.com/MasiraObat/status/1700531507410944277

F5mAWQ9XwAAamFb


MY TAKE
Upon receiving $11 mln to begin a construction for a brandnew PAX terminal , Mwanza Airport is no more at par with Kisumu local airport!
 
Back
Top Bottom