Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sidhani hata unaelewa tunachofanya, nyinyi mmejenga 609km (Mombasa to Naivasha), sisi tunajenga 1565Km (Dar to Kigoma, Tabora to Mwanza). Wakati huo huo tunajenga mifumo ya umeme kwenye reli na mifumo ya kuleta power kutoka kwenye grid ya taifa.
Mueleweshe kuwa we are building a network of 2500km of rail and supporting infrastructure.
 
Tatizo siyo urefu wa kwenda juu bali uwezo wa kubeba mzigo. Yenu inauwezo wa kubeba 25tonnnes per axel wakati yetu ni 35tonnes. Sasa ukichukua treni yetu kuwa na urefu wa zaidi ya 2miles (3.2km) utaweza mwenyewe kuona nani atapata faida.
Asikuzingue hata ya kwetu itabeba double stack na mabehewa ya double stack yameshaagizwa tayari.
 
Sasa unamlilia nani 😅😅😅 hakuna janja janja eti sphere ni almost half ya jengo sijapata kuona

Burj khalifa ni 830m lakini sphere yake hata 50m haifiki hahahaha
Please just type in Swahili, I can understand. I'm getting a terrible headache when reading your English.
 
Sasa unamlilia nani 😅😅😅 hakuna janja janja eti sphere ni almost half ya jengo sijapata kuona

Burj khalifa ni 830m lakini sphere yake hata 50m haifiki hahahaha
What do you have to say about 160m spire on Merdeka tower? In fact, that spire is taller than your tallest building. Britam Tower will remain the tallest building in East and Central Africa whether you like it or not. In the meantime, wait for CCM to build your next tallest building.
 
If I was to go inside of these buildings especially Britam tower can I really reach a floor that is 200m above ground?

Sasa unamlilia nani 😅😅😅 hakuna janja janja eti sphere ni almost half ya jengo sijapata kuona

Burj khalifa ni 830m lakini sphere yake hata 50m haifiki hahahaha
Just kill yourselves or cry more if you want. But in all the lists you will come across of tallest buildings in East Africa, Britam Tower will be number 1 ☝️☝️☝️😁. Even without Britam, we still have three taller buildings than your tallest building! Kill yourselves or make peace with that.

1694730491230.png
 
Hapo ni birth pangs tuu zitawapata maumivu ya mbunye mijoka ikishuka ndio watayasikia vizuri.

Kwani elimu yao unaionaje wewe? Those are the products of the failed education system.
Hiyo failed education system ndio inatuweka kwenye top 3 African countries with the best human resource wakati nyie hamtokei hata kwenye top 10. Your better education system imewasaidia kivipi? Aha! huwa mnafunzwa kuonea Kenya wivu 🤣
 
Sidhani hata unaelewa tunachofanya, nyinyi mmejenga 609km (Mombasa to Naivasha), sisi tunajenga 1565Km (Dar to Kigoma, Tabora to Mwanza). Wakati huo huo tunajenga mifumo ya umeme kwenye reli na mifumo ya kuleta power kutoka kwenye grid ya taifa.
Hakuna hata section yenye imemalizwa muanze kutumia treni? 7 years after construction began and you still have nothing to show. Wakati huku we are mobilizing resources to start extension to the border with Uganda na tutamaliza na kuanza operations before you can even start your Dar - Morogoro line 🤣. Connecting a railway line to the national grid yet more than half of your population is in darkness is pure madness
 
Just kill yourselves or cry more if you want. But in all the lists you will come across of tallest buildings in East Africa, Britam Tower will be number 1 ☝️☝️☝️😁. Even without Britam, we still have three taller buildings than your tallest building! Kill yourselves or make peace with that.

View attachment 2749555
What about one World Trade Center in New York?… for sure it’s the tallest building in Americas… (North and South)…not Bank of America Tower….
 
Another sign of freedom of speech in Kenya… jamaa Ana respond ati “ ubwaa” and nothing will happen to him…. We know Bongolalas really envy to live in Kenya… Freedom is sweet…🤣🤣🤣
Kwenu freedom ni matusi au sio 😅😅😅😅
Yani ww unaeza kumtukana baba yako aliekuzaa au mama yako na hio ndio freedom kwenu???
 
Hakuna hata section yenye imemalizwa muanze kutumia treni? 7 years after construction began and you still have nothing to show. Wakati huku we are mobilizing resources to start extension to the border with Uganda na tutamaliza na kuanza operations before you can even start your Dar - Morogoro line 🤣. Connecting a railway line to the national grid yet more than half of your population is in darkness is pure madness
The last three years were a little slower due to covid, in essence, areas that needed some finishing touches (e.g cladding) were delayed for a minute. However, the line from Dar to Makutupora (726km) has been completed, this section alone writes circles on your entire SGR line. At the moment, we're waiting on our "brand new" locomotives to arrive, one is on the way BTW. 😉
 
Back
Top Bottom