Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila bado hatujaona matokeo. Alafu Ni kidual carriageway cha 48km pekee.🤣
Wewe kweli ni matraako wa Kibera,ilete matokeo kwani Imekamilika?

Naendelea kukwambia dualling ni km 237.9 plus Uyole-Songwe Bypass km 49 ,kama hutaki kajinyonge.

And this is the most expensive ambapo gharama yake ni tshs.1.133Trilion($ 500 million)
 
Mnajifanya mnajua Kiswahili kumbe ni cha mtaa tu. Hivi huelewi hii tweet?🤣
Should I break it down for you. 48.9km

 
Mnajifanya mnajua Kiswahili kumbe ni cha mtaa tu. Hivi huelewi hii tweet?🤣
Should I break it down for you. 48.9km

View attachment 2745766
Kwa hiyo huko Kundustan kwenu mnajenga Km 218 +(48.9*2)=316 Kwa Dola mil.500? Au sawa na 3.5B Kwa km?

Wivu utakuua wewe Mzee ambae umeamua kutumia buttocks badala ya kufikiria.🤣🤣

Mwisho tuache hiyo ya kwenda link tuje hii ya kwenye video umesikia dual carriage Highway au sio single?

View: https://youtube.com/watch?v=zxtod_8gjk4&si=Ky_DOfQjFT8iVZGG
 
Geuzwa unyonywe🤣🤣🤣
 
Shida wewe sii Mhandisi so siwezi kulaumu. Wacha nikuoe mfano, Thika Road, 50km x 2 imejengwa Na Dola million 300 mwaka wa 2009-2012. Ingekuwa Leo hii, ingekuwa Zaidi ya Dola million 600. Kenol - Marua, 84km x 2 imejengwa na Dola million 167.

Ujenzi wa barabara unatia maanani vitu vingi, Sio urefu wa barabara tu. Usilazimishe vitu bradhee. Hamjajenga 50km kuingia Dar alafu mjenge 218km kuingia Malawi? Tufuate kilichoandikwa, Sio hadithi za abunuwasi.🤣🤣

 
Alafu usidhani Sisi ni wajinga kama wewe. Website ya Tanroads inasema barabara cost yake ni $180M, hiyo $500M umetoa matakoni ama wapi?🤣🤣

 
Alafu usidhani Sisi ni wajinga kama wewe. Website ya Tanroads inasema barabara cost yake ni $180M, hiyo $500M umetoa matakoni ama wapi?🤣🤣

View attachment 2745802
Utatokwa sana na mapovu.

Hiyo unayoitaja wewe ni gharama ya portion mojawapo section ya uyole-Songwe Airport ila naming ni hiyo hiyo.

Soma haya maelezo harafu uniambie kama huko Kundustan Huwa mnajenga Barabara ya km 49 Kwa Dola mil.500

View: https://www.instagram.com/p/Cw-XS29MmDu/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…