NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,332
- 19,717
Hujielewi. Barabara Ni Nairobi - Marua. 84km Ni Kenol - Marua ambayo imekuwa upgraded to dual carriageway juzi. Nairobi - Kenol is already dualed. Meza wembe. Alafu kila siku unajichocha humu wewe Ni engineer na unaijua Kenya yet hakuna kitu unaelewa.🤣74% ya 152 km si 84 km inayoonyeshwa kwenye clip! Mkundustan wacha upumbavu!
🔨🔨🔨🔨Nairobi Marua road, 152km ndio hiyo. Wewe tuonyeshe Tunduma road.🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/bX7dHNrxY0U?si=8MHiEtD6tlSBxK0l
Hao wote ni Watanzania ubaguzi bakiza kwenu kati ya kikuyu na jaluo.Kenya hukuna tajiri anaeshikilia sector nyingi ndio maana huwezi kuwaskia. Ila bongoland waarabu wame wakamata
🔨🔨🔨🔨Hujielewi. Barabara Ni Nairobi - Marua. 84km Ni Kenol - Marua ambayo imekuwa upgraded to dual carriageway juzi. Nairobi - Kenol is already dualed. Meza wembe. Alafu kila siku unajichocha humu wewe Ni engineer na unaijua Kenya yet hakuna kitu unaelewa.🤣
Wapi dual carriageway hapo wee msenge?🤣🤣
Ikija kwetu mnasema wazungu, kwenu mnataka kujifanya eti ni Watanzania. Kama hamna ubaguzi mbona Wasukuma wasiwe matajiri kama Hao Wahindi Na Waarabu? Alafu waarabu wenyewe hata hawafiki elfu 100 yet wameshikilia kila sector ya uchumi.🤣🤣Hao wote ni Watanzania ubaguzi bakiza kwenu kati ya kikuyu na jaluo.
Unauliza 🤣🤣 120km unadhani ni hizo street roads za huko Nairobi?Hii no KM ngapi?🤣
Hiyo JKIA has over lived a generation 🤣🤣🤣 ni ya kupiga bomu muanze upya in the mean time wakati mnajenga muwe mnatumia KIA for international arrivals and departure 😁
We boya kwani huoni kwamba wako kwenye mobilisation?Wapi dual carriageway hapo wee msenge?🤣🤣
Umesema mwenyewe hutaki plans, mbona Sasa unatuletea plans?
Hata hayo mapato ya Equity sio Equity bank bali ni Equity Group ambayo ina other businesses apart from banking.In individuality NMB ni most profitable sababu NMB ipo Tanzania tu wakati hizo banks za Kenya zimekusanya matawi yao yote mpaka nje ya Kenya lakini bado the difference ni ndogo sana, zikisimama na domestic operations NMB inakua number 1
Unauliza 🤣🤣 120km unadhani ni hizo street roads za huko Nairobi?
Ila bado hatujaona matokeo. Alafu Ni kidual carriageway cha 48km pekee.🤣We boya kwani huoni kwamba wako kwenye mobilisation?
View: https://youtube.com/watch?v=zxtod_8gjk4&si=tnXv41DYc9whhXQA
Ngoja nikupe na Nyingine
Hii imeshaanza inaitwa Uyole-Songwe Airport km 35,leta mapovu mengine 🤣🤣
View: https://youtube.com/watch?v=YoPilJ8ykpQ&si=n3gPIx13rrdA0jMx
Sasa mtaanza kugawanyisha Equity ndio muwe mbele? Yani mnafurahisha.🤣Hata hayo mapato ya Equity sio Equity bank bali ni Equity Group ambayo ina other businesses apart from banking.
Tangu Elon aanze kulipa watu kule X sasa hivi hiyo page sio relevant tena, wanapost chochote ili watu wabishane apate impressions na engagement kwa ajili ya maokoto. 😂😂😂Nimeona niwasaidie Wakenya kuwaletea ushindi huu mkubwa.
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1701133648492122406?s=20
Tusipost tu kila kitu. Sasa hii ni barabara ya kupost?🤣Barabara nyingine Hadi mpakani mwa Malawi,tutakuwa na Barabara 3 zinazofika mpakani mwa Tanzania na Malawi
View: https://twitter.com/GillyBonnyTv/status/1690750561698578432?t=DdvHP7zP1JsC4No9IZiBKQ&s=19