Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Yaaani sipati picha taka la hivi Dar au kwenye miji yetu itakua national news 😃Bila aibu watakuambia Nairobi ni mji wa tano kwa ubora duniani🤣🤣🤣
Yaaani sipati picha taka la hivi Dar au kwenye miji yetu itakua national news 😃Bila aibu watakuambia Nairobi ni mji wa tano kwa ubora duniani🤣🤣🤣
Asante kwa picha za wakati wa ujenzi
Hio dege yenye miaka 20 inajengwa haifiki kwa nyayo estates embakasi iliojengewa enzi za moi. Unabisha?mradi huu ni mkubwa sana sana kias kwamba umefika over 70%,
haya leo tuangalia ile tatu city yenye over 15yrs haijafikisha hata 1% ya render, tuachane tatu kuna nyingine inaitwa konza ndio vichekesho kabisa vya abunwasi
Alaf zwazwa anashuta na kutokwa ute ovyo huko nyumanju 😅😅😅😅😅😅
Mradi uliofika over 70% utafananisha na mradi uko over 15 yrs na hata 1% haujafika??
Siku hizi kuna Kampuni kibao za kuzoa taka hadi uswahilini mwenye nyumba lazima akunyuke 5000 monthly na gari linapita ukusanye upupu wako 😂 kwa ving’ora . Hakuna utopolo kama wa hawa jamaa wa kaskazini wanatupa kila eneo.Yaaani sipati picha taka la hivi Dar au kwenye miji yetu itakua national news 😃
Huko you can't criticize the government. Wanataka waendelee kuishi kwa bubble. 🤣 🤣
Jamaa wanapenda sifa ila on the ground unakutana na story tofaut🤣🤣🤣juzi nikiwa nchi fulani nilimsikia mkunya mmoja kwa restaurant akisifia kunyaland eti usafiri wao kwa sasa ni fully electric na brt ipo asilimia 70 soon inakaribia kukamilika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siku hizi kuna Kampuni kibao za kuzoa taka hadi uswahilini mwenye nyumba lazima akunyuke 5000 monthly na gari linapita ukusanye upupu wako 😂 kwa ving’ora . Hakuna utopolo kama wa hawa jamaa wa kaskazini wanatupa kila eneo.
View attachment 2745089
Imekua miaka 20😅😅😅 bila shaka utakua umeghadhibika sana na una hasira kali sanaHio dege yenye miaka 20 inajengwa haifiki kwa nyayo estates embakasi iliojengewa enzi za moi. Unabisha?
Hio kali kwa kweli ujue mpaka nimeshtuka😅wanapika Vitabu, kama wanavyopika GDP 😂
GDP huwa inawauma Sana. Hapa mnajifanya GDP is nothing Ila kila mara mnaonyesha inawauma.🤣wanapika Vitabu, kama wanavyopika GDP 😂
Unabisha nyayo estate imezidi dege Eco?Imekua miaka 20😅😅😅 bila shaka utakua umeghadhibika sana na una hasira kali sana
Bonge la picha bongolala umeitoa wapi?
Hio full electric bus zenyewe ziko 10 alaf sasa hebu nambie mini bus 10 zinasaidia nn kwenye transportation kama sio vituko tu😅😁Jamaa wanapenda sifa ila on the ground unakutana na story tofaut🤣🤣🤣juzi nikiwa nchi fulani nilimsikia mkunya mmoja kwa restaurant akisifia kunyaland eti usafiri wao kwa sasa ni fully electric na brt ipo asilimia 70 soon inakaribia kukamilika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu watakwambia wana democracy🤣🤣🤣Huko you can't criticize the government. Wanataka waendelee kuishi kwa bubble. 🤣 🤣
Ndio nabisha haifikia 20 yrs nabisha ndio haya leta unachojua ww nikuumbue sasa hvi😅😅😅😅 manake mradi ulismamishwa na magufuli alivoingia madarakani ni just 7yrs mradi umesmama haya ww tumabie tatu yenye over 15 yrs na bado haijafika hata 1% of its renderUnabisha nyayo estate imezidi dege Eco?
Utasema vyoo vya kulipia 😅😅😅😅