Shifting goal posts as always mkibanwa. Sasa it's no longer about stock exchanges but international trade after nimempa mwenzako za uso. Vilaza katika ubora waoTumepokonya Wakunya soko la Uganda🔥🔥
More than 60% of Uganda imports comes from Tanzania.
View attachment 2736029
Povu ni kujua loses za KQ na kutojua shirika lenu la ATCL linatengeneza shillingi ngapi kwa faidaUnazidi kutoa povu la kinyang'au🤣🤣
You are wrong bongolala. Everyone in Nairobi lives in kibera. Happy now? Now back to basics, tell us how much profits ATCL has madeKenya ni nchi ya kipumbavu sana, over 70% of Nairobi population live in slums. Most of them reside in Kibera which accomodates more than 2.5mil slum dwellers including you.View attachment 2736030
Eti Dar Ina miti mingi? Zile mabanda za gongo la mboto na keko mwanga zilizobanana ndio unaita miti? Ebu leta hizo miti mingi tuzione tucheke kidogoDar ina miti mingi kuliko Kenya nzima unabisha? Nchi yenu 3/4 ni jangwa unawezaje kulinganisha na Tz.
Sasa kama shirika lenu pia linaendeshwa kwa hasara mbona uwe obsessed na losses na shirika la nchi jirani? Si unaona mlivyo wajinga?Air tanzania imepunguza loss kwa mwaka mmoja almost 50% na mwaka huu ndio utaona kua loss inapungua na vp kuhusu nyinyi loss kila siku inazidi yani loss iliopatikana mwaka huu kwa miezi sita nikubwa kuliko ya mwaka jana mwaka mzima😅😅😅😅😅
Which KSH are you talking about the one that is falling from space or there is another KSH?How you wish. It also hosts the region's biggest companies.
Safaricom, the region's most profitable company is hosted at the NSE, same as Equity and KCB banks, the region's biggest banks just to mention a few
And just to remind you, stock exchanges are measured in market capilization. NSE's current market capitalization stands at KSH 1.57 TRILLION. Mark the word KSH
Hicho kibanda chenu mnaita stock exchange has a market capitalization of $6b. Hizo sijui ni hela ngapi za madafu but it translates to around KSH 900 billion at the current exchange rate. Yani that'sa difference of a whopping KSH 600 shillings na bado unatoa povu za uzalendo hapa! DSE Archives
Hvi unajua maana ya kupunguza hasara ??🤣 au ww ubongo wako haujui hesabu ?? Yani shirika limepunguza hasara kwa almost 50% within a year do u think is a joke??? From 60b 2021 to 35b in 2022 ww unafkiri ni mchezo au??😅😅😅😅😅 na hasara kubwa ya airtanzania ni madeni ya nyuma wakat shirika limeyumba kabisaSasa kama shirika lenu pia linaendeshwa kwa hasara mbona uwe obsessed na losses na shirika la nchi jirani? Si unaona mlivyo wajinga?
Kwa hiyo KQ imepata faida kubwa sana na kuwa ya kwanza duniani au sio?🤣🤣🖐Povu ni kujua loses za KQ na kutojua shirika lenu la ATCL linatengeneza shillingi ngapi kwa faida
Yes, that one that is falling from space still places NSE ahead of your kibanda called Dar stock exchange by more than Ksh 600 billion in market capitalization. Imagine what the difference would have been if it wasn't falling from space. Hii yenu ni taifa la kijinga sana.Which KSH are you talking about the one that is falling from space or there is another KSH?
Stop twisting this thing bongolala. KQ has been making losses and we all know that. Funny thing is that your own airline has been making losses as well all this time but Tanzanians in here have chosen to turn a blind eye on that to focus on KQ losses. What a bunch of delusional people!!Kwa hiyo KQ imepata faida kubwa sana na kuwa ya kwanza duniani au sio?🤣🤣🖐
Tukisema hamujui kinachoendelea ndani ya nchi yenu na baadaye mnakuwa obsessed na masuala ya Kenya mnadhani hatuijui tunachosema. Sasa si hata wewe unaona hujui yanayofanyika ndani ya nchi yenu ilhali unajua how much KQ is making in losses?Hvi unajua maana ya kupunguza hasara ??🤣 au ww ubongo wako haujui hesabu ?? Yani shirika limepunguza hasara kwa almost 50% within a year do u think is a joke??? From 60b 2021 to 35b in 2022 ww unafkiri ni mchezo au??😅😅😅😅😅 na hasara kubwa ya airtanzania ni madeni ya nyuma wakat shirika limeyumba kabisa
Hongera kwa kuwa na shirika bora la ndege dunia nzima.🖐🖐🤣Stop twisting this thing bongolala. KQ has been making losses and we all know that. Funny thing is that your own airline has been making losses as well all this time but Tanzanians in here have chosen to turn a blind eye on that to focus on KQ losses. What a bunch of delusional people!!
Asante sana bongolala. Sasa usiwe na wasiwasi tena kuhusu hasara zake. Focus on making ATCL profitable. Mambo ya KQ achieni wakenya mshugulike na ATCL which has been making losses for five straight years nowHongera kwa kuwa na shirika bora la ndege dunia nzima.🖐🖐🤣
Bado unaendelea kutoa povu la kinyang'au?🤣🤣🤣Asante sana bongolala. Sasa usiwe na wasiwasi tena kuhusu hasara zake. Focus on making ATCL profitable. Mambo ya KQ achieni wakenya mshugulike na ATCL which has been making losses for five straight years now
Labda iyo ni Dar ya nakuru ila DSM ya Tanganyika ukute mihogo shambaTunajua hiyo eneo kubwa ya Dar kuna hadi shamba za mihogo. Unafikiri hii Dar yenu hatuijui?
Jiji la kishamba sana sana kuliko zote ukanda huu.
Hizo maeneo mnaita pori are posh neighborhoods with lots of trees and green spaces, the epitome of any rich neighborhoods. Yani huko unavuta hewa safi, mandhari ni tulivu na ya kuvutia. Unalinganishaje na vile mitaa zenu za dreamhouses ambazo nyumba zimebanana kila upande bila mvuto wowote?
But tunaelewa ni chuki inawasumbua everytime you remember there are no such tree cover in your residential areas. Of course lazima uite za wengine pori
Msamehe huyo ni chizi mmojaTukisema hamujui kinachoendelea ndani ya nchi yenu na baadaye mnakuwa obsessed na masuala ya Kenya mnadhani hatuijui tunachosema. Sasa si hata wewe unaona hujui yanayofanyika ndani ya nchi yenu ilhali unajua how much KQ is making in losses?
Bongolala, ni wapi ulisoma kwamba ATCL ilipunguza hasara kwa karibia 50%? Can you prove these claims from a reliable source?
According to your country's Controller and Auditor General's
report, ATCL reduced losses by a paltry TSH 900 Million from TSH 36.1b to TSH 35.2b. Does that represent 50% as you imply?
Secondly, ATCL's losses were largely atributted to flight delays ( up to 25% flight delays). Yes you heard me right, 25% flight delays!!! Yani shirika lenu halijui kukeep time. Wewe nawe hapa unatuambia kwamba losses zilitokana na madeni za kitambo which is flatly wrong according to that report.
Air Tanzania records a loss in the billions despite the growth in the country’s aviation sector
According to the Controller and Auditor Generals report for 2021/2022, Air Tanzania Company Limited (ATCL) lost Sh35africa.businessinsider.com
Danganya watanganyika wenzako, si mtu kama mimi