ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,252
Nimeelewa Mwenyekiti!😂😂😂😂😂 ni Chanda na Pete.Kuna msemo hua unasema riziki ya mbwa iko miguuni mwake 😅😅😅😅
View attachment 2734777View attachment 2734778
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂 Utafikiri wapo First World 😂😂😂😂
South ya wapi wakat CBD yote inaonekana 🤣🤣South of Nairobi CBD
![]()
![]()
Part of Dom,the Capital CitySouth of Nairobi CBD
![]()
![]()
Janen, msisahau kuona magari yao ya 5 years ago, mabus mazur wanayotengeneza na mengine wanayowauzia akina Shabiby huku bongo, nguo zao safi mpya mpya, tembea yao kama watu walioshiba, nywele zao safi zilizopigwa hair conditioner, etc..CBD before polish🤣🤣🤣
View attachment 2734858
Sahau hair conditioner, shampoo yenyewe NOOOOO, sabuni ya kipande kusugua hivyo vipilipili ni shidaa, wananuka kama mabeberu kwenye zizi. 😂 😂 😂 😂Janen, msisahau kuona magari yao ya 5 years ago, nguo zao mpya mpya, tembea yao kama watu walioshiba, nywele zao safi zilizopigwa hair conditioner, etc..
hawa jamaa maisha yao safi kbsa kama wanavyotuhadithia huku
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 WAKUNYATA, huyu jamaa hayupo hapa kweli? mbona ana vocabulary za huku jamvini 😂No make up, no eye shadow, no polish🤣🤣
View attachment 2734886
Sahau hair conditioner, shampoo yenyewe NOOOOO, sabuni ya kipande kusugua hivyo vipilipili ni shidaa, wananuka kama mabeberu kwenye zizi. 😂 😂 😂 😂
Wananuka njaa mpaka wakijikuna ni unga tu unatoka kwenye ngozi 🤣🤣🤣🤣🤣Janen, msisahau kuona magari yao ya 5 years ago, mabus mazur wanayotengeneza na mengine wanayowauzia akina Shabiby huku bongo, nguo zao safi mpya mpya, tembea yao kama watu walioshiba, nywele zao safi zilizopigwa hair conditioner, etc..
hawa jamaa maisha yao safi kbsa kama wanavyotuhadithia huku
Wamemtishia eti ajioneshe sura wamkamue nyaa🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 WAKUNYATA, huyu jamaa hayupo hapa kweli? mbona ana vocabulary za huku jamvini 😂
Mwalimu wa mathe ulisema hatuendi mbali na hapa ni wapi??🤣🤣🤣👇👇👇👇Dodoma left the chat