Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Kuna kukatika umeme na kuna kukatika umeme na Aiport kukosa generator, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa usichanganye mambo.Nimependa jinsi Watanzania wenye akili kwa ule uzi wa bosi wa viwanja kufutwa kazi after stima kukatika. 🤣
View attachment 2733085
sijawah kuona kwenye maisha yangu nchi nzima inakatika umeme mpaka ikulu sijapata kuona 🤣 🤣 🤣Kuna kukatika umeme na kuna kukatika umeme na Aiport kukosa generator, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa usichanganye mambo.
Labda wakisema umeme wanamaanisha UKIMWI…..who knows?🤷🏾♂️😂😂😂sijawah kuona kwenye maisha yangu nchi nzima inakatika umeme mpaka ikulu sijapata kuona 🤣 🤣 🤣
alaf hua wanajisifu hapa wako vzr kwenye umeme yani nimestaajabu sana
ngoja tuite kwa jina lao ni stima 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Labda wakisema umeme wanamaanisha UKIMWI…..who knows?🤷🏾♂️😂😂😂
Tayari iko njiani 🤣🤣🤣🤣🤣 unaeza jionea ukuta wa matopeAnytime soon 😂😂😂😂View attachment 2732586
Biggest kwenye nn, mbio za mita 100,000? alafu wale wa mita 100 wasemeje🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣The biggest female athlete in the world right now.
Kwnn hawa jamaa majengo yao karibu 80% yapo hivi?Tayari iko njiani 🤣🤣🤣🤣🤣 unaeza jionea ukuta wa matope
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1696532963457196454?t=UrdOm2lykXGPAzEoktzt-Q&s=19
Wanakwambia wamesoma 🤣🤣🤣 nyumba zao ni magumashi matupu yani kwao pesa inathaman kuliko uhai wa binaadamuKwnn hawa jamaa majengo yao karibu 80% yapo hivi?
Kama hujui chochote kuhusu athletics unyamaze.Biggest kwenye nn, mbio za mita 100,000? alafu wale wa mita 100 wasemeje🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
By far,2023 3 different world records.The biggest female athlete in the world right now.
She's going places.By far,2023 3 different world records.
Plus more than 150m ndani ya bank na bado mwaka haijaisha
Tuko vizuriThe biggest female athlete in the world right now.
ndo wakandarasi gani hao hata fundi maiko hawezi weka msingi wa gorofa kama huo. nguzo kama za kingo za barabara.Tayari iko njiani 🤣🤣🤣🤣🤣 unaeza jionea ukuta wa matope
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1696532963457196454?t=UrdOm2lykXGPAzEoktzt-Q&s=19
She will be declared 2023 Female Athlete of the year by at least 3 major world organizations…. Including IAAF ( World Athletics) , ESPN ( USA), RUNNERS WORLD ( USA) and EURO Athletics….. remember my post…The biggest female athlete in the world right now.