Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Omba samahani mzee nikuonee huruma 🀣🀣🀣🀣
amefinywa penyewe, kilaza anatafuta pakutokea sasa., pumzi kwisha, siku nyingine kabla ujibizane nami uwe umejipanga kwa facts, sio hadithi za vijiweni, nyambaff, potelea mbali πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wacha niendelee kukupiga spana, bado hujasema .. 🀣🀣 mashujaa monument U/C πŸ‘‡...πŸ‘‡
View: https://www.instagram.com/reel/CvQOgoWNQ64/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==. DODOMA government city moja hiyo .. 🀣🀣🀣..
 
ichoboy01 njoo uku uone.. 🀣🀣🀣🀣🀣.. Saivi eti wao ndio wanatukopesha Ili tujenge SGR yetu.. kwanini wasijikopeshe Ili wamalizie ile mess yao a railway to no where .? 🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣 bro taratibu utamzibua sasa kama kafikia hapo ujue relay ya kwenye medula oblongata imecheza
 
ila kwa hapa mzee lazma utakua umeunguza fuse tena lazma itakua fuse ya radiator kaaah aloo 🀣 🀣 🀣 🀣 pesa ya mishahara tu inawatokea puani itakua pesa ya SGR ambayo wachina waliwatia mpaka viboko
 
The Habitat, Upper Hill, Nairobi (23 floors - Under Construction)
Hii ingekuwa Dar is Slum ingekuwa front page.
But in Kenya, 99.99% of Kenyans have never heard of it because we're overwhelmed by all the new constructions.

Ooh, and it's not a government project.

 
ila kwa hapa mzee lazma utakua umeunguza fuse tena lazma itakua fuse ya radiator kaaah aloo 🀣 🀣 🀣 🀣 pesa ya mishahara tu inawatokea puani itakua pesa ya SGR ambayo wachina waliwatia mpaka viboko
Kalilie kwa choo kilaza , unaumwa sana, tutawatafuna tukisaidiwa na wajanja ndani ya serikali yenu, 😝 😝 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
gazeti lenyuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tazama mnavyo tafunwa..., na deni mtalipa tu ama tutashika ndege kama mkulima wa South Africa alivyo wafanya.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Yaani kule Kisumu estate moja ni level ya Dodoma CBD.., sura ya apartments ati townπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


"Eastlands" ya Kisumu ni kubwa kuliko Dodoma CBD..., hapa sio Kisumu City center, ni mitaani kule nje ujue hivyo..,

Lolwe estate...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…