Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Mbona unataka za Kenya nzima?
Za Eastleigh pekee zimetosha.

I propose Eastleigh vs Dodoma+Dar+Mwanza+Arusha
 
Tatu City inakaa Geza Ulole Kigamboni, bora hata geza kumejengwa residencial hakuna rami tuβ€¦β€¦πŸ˜…πŸ˜…
 

Nairobi was collecting revenue long before it became a county government.
Kazi iliyokuwa ikifanywa na Nairobi City Council before 2010 ndio inafanywa na County government.
 
Kisha ikamilike baada ya miaka mingapi?.., tatizo Tanzania sio kuanzisha miradi, tatizo ni kukamilisha.., mtakua mmezeeka ama wengine hampo duniani kwa vile mambo yanavyo enda.., poleni. #SGR.., 2023 mwaka unaisha SGR bado!!!..,,
We kweli ni kocho,tuna phases 6 na za SGR na zote zipo under construction, almost 2.5k km ..the longest SGR in Africa, tulianza kujenga katikati ya mwezi wa 7/2017, unategemeaje tumalize leo.?πŸ˜‚πŸ˜‚ . mbona kama umezidiwa.? Haya majoka hukuyaona au ndio mana ulikimbia.? πŸ‘‡huku mtafika labda miaka 100 ijayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wishful thinking sio .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..
 
Mbona unataka za Kenya nzima?
Za Eastleigh pekee zimetosha.

I propose Eastleigh vs Dodoma+Dar+Mwanza+Arusha
nilijua huwez kujiamini ukaleta na ukweli unaujua kua hutotoboa 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Nairobi was collecting revenue long before it became a county government.
Kazi iliyokuwa ikifanywa na Nairobi City Council before 2010 ndio inafanywa na County government.
ukithibitisha kwa vitendo nitag nifunge acc🀣🀣🀣🀣🀣
 
Unajaribu kupindua pindua lakini wapi..., sio vile, soma gazeti lenu pole pole bila haraka brathe, ukweli mchungu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,
 
Mjomba usichanganye habari mzee 🀣🀣🀣 Dom government city haija dizainiwa Ili ijengwe viwanda kaka .. gvt city ilijengwa kwaajili ya serikali ifanye kàzi humo kwahyo kitu utaona gvt city ni majengo marefu mazuri, barabara Safi za kuwaka waka, hotels, kumbi za mikutano n.k . Halafu kuhusu uchumi Usitaje eti kiambu county kwenye sentence moja na DOM City mzee, chukua counties zote zinazozinguka NAIROBI na still hazitawahi kuwezana na DODOMA City.
 
Nairobi was collecting revenue long before it became a county government.
Kazi iliyokuwa ikifanywa na Nairobi City Council before 2010 ndio inafanywa na County government.
Umejibu vizuri. vilaza wakipatikana wataandika mapambio kujikomboa lakini wapi..,
 
analazmisha sukari iwe chumvi mvumilie ndio kawaida yao hasa wanapoona wamebanwa kwenye hoja 🀣 🀣
 
🀣🀣🀣🀣 Mjomba wacha matumizi mabaya ya bando, hizi barabara umepost hazifiki hata 5 km .. nikurahisishie.?
 
Unajaribu kupindua pindua lakini wapi..., sio vile, soma gazeti lenu pole pole bila haraka brathe, ukweli mchungu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,
Umejibu vizuri. vilaza wakipatikana wataandika mapambio kujikomboa lakini wapi..,
ni vichekesho vya firauni maajabu kwa musa πŸ˜†πŸ˜† akijibu kwa hoja unitag au msaidie hoja labda munaweza kuifanya tanzania itumie system ya counties
 
Usitaje eti kiambu county kwenye sentence moja na DOM City mzee, chukua counties zote zinazozinguka NAIROBI na still hazitawahi kuwezana na DODOMA City.
Ujinga ukichanganywa na upumbavu na akili duni hayaπŸ‘† ndio matokeo, hiziπŸ‘† fikra duhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., soma ulicho andika πŸ‘† πŸ‘† .., uendazimu huu, taifa fukara watu maisha ni uswazi kisha kujenga apartments type building eti office blocks na barabara zenye mataa ndio nini cha ajabu hapo? .., boss tafuta elimu.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ni vichekesho vya firauni maajabu kwa musa πŸ˜†πŸ˜† akijibu kwa hoja unitag au msaidie hoja labda munaweza kuifanya tanzania itumie system ya counties
Region!, tafuta lingine la kudanganya makapuku wenzioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…