Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni invisible vipi? Huko nyuma umewekewa hadi video ama unataka tukupimie 50km of tarmac kama bongolala mwenzako ichoboy anavyotak?? Tatu city is a 5000 acres property na ina zones kama industrial zones, residential zones, commercial zones etc na sasa hivi kila mahali papo settled au contstructions are going on kuna lami

 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 tarmac road iko wapi hapo ile 50km iko wapi?? Zile nyumba 3000 ziko wapi hata 10 sizioni wachilia mbali 3000 hzo kampuni 75 zinakaa wapi juu ya hewa au??

Nilikwambia hapa sio nairaland sisi ni majirani zenu mukijamba harufu tunaskia hakuna kitu mutadanganya hasa dunia hii iliojaa wajuaji hata hao wa nigeria munaowadanganya sasa hvi wanawacheka kwa ufala mlionao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kila kitu ulichopost hapa kinaonekana πŸ‘‡πŸ‘‡zaidi ya miaka 15 hamuna chakuonesha zaidi ya sifa za uongo
 
Ndio hii au ???πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
View attachment 2725857





Au ndio hio tena au zinafanana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Unapinga ama? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚, usikatae kwenu, unapajua vizuri sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dar is slum ni kubwa sana kaka.., wacha niitandaze humu..., 1600 sq km sio mchezo kaka, tazama....,



Vumbi tupu...,
 
Yani mzungu aweke sattelite ya trillions of money asione slum dar ila aone slum nairobi pekee πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Na hitapata google earth ikionesha neno slum in dar mpaka dunia itasimama
View attachment 2725875
Hauna pakutokea..., jipe shughli, tafuta hela bro..., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo link ndio nilitumia kuonyesha Dom hamna kitu kwa Kiambu na pia Dom govt City haifikii tatu city kiuchumi..,
πŸ‘‡screenshot...., soma highlighted part..., Dom ya pili baada ya Dar is slum..., REGION!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio ni municipal collections ww chizi kweli hzo ni local gvt collections na sio central gvt na link nimeweka hii hapaπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Siku njema watani
exactly my point..., nini hauwelewi?..., ni pato la taifa segmented in zones., bro kuna Dom region nyingine na Dar region nyingine, unajua maana ya neno region?, fyata utaendelea kujiaibisha, sio mimi nimesema ni serikali yenu na gazeti limenukuu serikali yenu, usinichukie bure, sio mimi ni facts zilivyo, wacha kiswahiliπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…