Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya watapata mechi ya mpira inachezwa saa tatu usiku baada ya miaka 50 ijayo
 
Tanzania gani ulitembea ww 😅😅😅 au ww unafkiri sisi kenya hatuijui
 
Bora watu wacheze, ndo mwanzo tu. Mtalia!!!
View attachment 2718362
Viwanja vinaenda vikiimarishwa na kuongezeka. Muda, subirini.
Dandora hapa unakamilika. City Stadium, ujenzi umeanza!!!
View attachment 2718363
Hapa hakuna viwanja mzee wangu, CCM wamiliki hizi takataka miaka mingi mno iliyopita. Saiv tunajenga viwanja vitatu vipyaa vyenye standards za FIFA kaa kwa kutulia ujionee ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…