Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans only quarrel during voting period.....and on normal occasions Omondi na kamau hufanya vitu zao pamoja.....I know you are disappointed we didn't fight.....sorry poor msukuma
 
hii picha imekuwa ni mtihani mkubwa sana kwa wakenya,nimewapa assignment ndogo ya kunitajia jina la eneo,mpaka sasa wanakwepa....nitajua tu jina la mmiliki wa huu msitu hata kama hamtaki....eti it's owned by public institution, my foot.
[emoji23]
 
hii picha ya mwaka gani? ubaya ya watz ni ushamba nyingi...njoo JKIA 2017 sasa ufananishe na JKIA ya 1990s...sasa ndio hizi tunazoita ndege...sio bombadier
Unaongelea shirika linalo lease ndege na serikali inamiliki 12% tu zilizobaki ni za KLM na wakora wengine
 
they were watching our Supreme Court proceedings like they were watching a blockbuster movie...they have never heard those vocabularies in their LDC country
Apparently ukiongea kiingereza swaafi Ukiwa kibera automatically unakuwa tajiri what a lame joke
 
Kenyans only quarrel during voting period.....and on normal occasions Omondi na kamau hufanya vitu zao pamoja.....I know you are disappointed we didn't fight.....sorry poor msukuma
Kwanza nimekuheshimu nimeongea lugha yako ... Hata kusoma hujataka! Sio vizuri...
Na sidhani kama nimegusia suala zima la ninyi kupigana! Huku kwetu tunasema wapendano/ndugu wakigombana... Shika jembe ukalime... Na wakipatana ..nenda ukavune...

You are brothers and sisters .. Your fight is your fight...but you can't be in our faces about Kenya ..Development while you have over 40% living in poverty... We have les than 24%... How is that even helpfull?

Mnasifiwa na watu wanawang'onga... Wanawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa... A good chunk of what you think is urs makes it way outside your country... And you here celebrating...
 
Endeleeni kujipa moyo mtashinda
 
Baada ya kurithi kwa nguvu iliyokuwa East African community, mtaweza kujenga ya kwenu kwa pesa zenu?
hahaha......
.......look at this perfect excuse.......Let's even take out Jkia......we have Eldoret airport......kisumu airport.....Isiolo airport.....Moi airport in mombasa which are all international by standards
 
Kenyans only quarrel during voting period.....and on normal occasions Omondi na kamau hufanya vitu zao pamoja.....I know you are disappointed we didn't fight.....sorry poor msukuma
BTW Sukuma means North.. Thanks to jf I dd not know that... So for you Mr sheng sukuma people are Ethiopians and Somali. [emoji1]
 
Kisumu has 4 buildings with 17 floors....with 6 others under construction like these twins
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…