joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Ndio sababu nikakuambia hujui maana ya hilo neno, ngoja nikupe shule kidogohahaha mm nilikwambia na nitakwambia hata hzo nchi nne zilizobakiwa ecowas mapinduzi yanakuja kwao vile vile just wait muda utaongea zaidi, vibaraka wote watapinduliwa nchi tatu tayari niger ya nne tayar sasa zimebaki nchi nne au tano ecowas sasa tusubiri tuone, activation of standby force iko wapi na inafanya nini??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole kwa maumivu mtetea haki za mashoga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm nalala hata bila ya ndoto, mwanaume mzima unashangilia mwanaume mwenzako akipumuliwa na kufukuliwa tope yaani unaonekana kituko mbele ya jamii
yaani vikao vitakua zaidi ya 100 lakini hakuna kitu watafanya mark my words hao wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani huyo nigeria mwenyewe anashida mpaka kwenye makalio wananchi wenyewe wamekataa nigeria kuingilia masuala ya niger wakat kwake kwenyewe kunawaka moto, vita vya boko haramu vimemshinda anawaza vita na niger wakat kashakingiwa vifua na nchi zaidi ya nne 😆 😆 😆 😆 😆Ndio sababu nikakuambia hujui maana ya hilo neno, ngoja nikupe shule kidogo
1)Kikao Cha kwanza Cha ECOWAS lengo lake lilikua ni kuipa muda wa wiki Moja Niger kurudisha utawala wa kiraia
2)Kikao cha pili ni kutangaza rasmi kwamba yaliyotokea ni mapinduzi ya Kijeshi na kuanza kazi ya kukusanya jeshi na kuliweka katika maeneo tayari kwa mashambulizi(activation of standby force)
3)Hatua ya tatu ni kutoa amri ya kushambulia na vita kuanza rasmi.
Jambo ambalo ninakushangaa ni kuzungumza vitu vya uongo Ili kujiliwa, huu mkutano wa Jana, umehudhuriwa na zaidi ya nchi 14, kati ya hizo 7 ni wanachama wa ECOWAS, Sasa wewe umeshikilia nchi 4 tu, ndio sababu nikakuuliza, umepitia Muhimbili?.
Hesabu hizi nchi zinazotajwa hapa.
"Developed" [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nina wasiwasi na majengo yao ya uyoga yanaweza ku-collapse![emoji23], Hapa muda si mrefu watakua wanapita na mtumbwi kama Venice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wajitahidi tu kudevelope sewage ijae ibebe mtumbwi.
View attachment 2714320
Kwahiyo sio nchi 4 Kama unavyosema wewe, au hizo nchi nne umezitoa wapi?.[emoji23], Hapa muda si mrefu watakua wanapita na mtumbwi kama Venice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wajitahidi tu kudevelope sewage ijae ibebe mtumbwi.
View attachment 2714320
Yes kwani uongo? Kuna nchi nyingi zinatafuta wawekezaji ukizingua anahamisha biashara zake nchi nyingine mfano mzuri unaona biashara zilivyoondoka Russia na uchumi unatetereka. Bakhresa analipa kodi corporate tax pia ana collect VAT kwa niaba ya serikali pia analipa PAYE kwa ajira anayotoa sasa kwani nchi nyingine haziitaji wawekezaji kama hawa?Ni sawa na kusema "Tanzania needs Bakharesa more than other way round[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona umechanganya madawa umemjibu ndinda badala ya mm 😅😅😅😅Kwahiyo sio nchi 4 Kama unavyosema wewe, au hizo nchi nne umezitoa wapi?.
Hivi Sasa wapo hatua ya pili, hivi unavyosema, nchi 7 zote za ECOWAS zilizohudhuria Jana zinachangia wanajeshi katika hiyo "standby force", hivi Sasa tayari vifaa vya Kijeshi na wanajeshi kutoka nchi za ECOWAS wanaelekea Nigeria kwa ajili ya kutoa kichapo[emoji13][emoji13][emoji13]
Hiyo haizuii nchi kuwa na maamuzi yake, hasa nchi tajiri ambazo zimejitoshelezaYes kwani uongo? Kuna nchi nyingi zinatafuta wawekezaji ukizingua anahamisha biashara zake nchi nyingine mfano mzuri unaona biashara zilivyoondoka Russia na uchumi unatetereka. Bakhresa analipa kodi corporate tax pia ana collect VAT kwa niaba ya serikali pia analipa PAYE kwa ajira anayotoa sasa kwani nchi nyingine haziitaji wawekezaji kama hawa?
Mfano wa karibu Magu alipozingua wafanyabiashara watu wa transportation walifanyaje? Walihamishia assets zao Zambia, Rwanda na Uganda meli zilikuwa zinahesabika bandarini.
[emoji13][emoji13][emoji13]Naona umechanganya madawa umemjibu ndinda badala ya mm [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Rudi usingizini ukamalizie ndoto yako 😅😅Russia ni kinga'nga'nizi Sana, wakati EU ilipotaka kujenga pipeline kutoka Qatar hadi Europe waliupinga mapinduzi ya raia wa Syria. Kilichotokea ni mauaji ya halaiki wakishirikiana na jeshi la al-asad. Leo hii mji wa alepo umekua gofu kutokana na ndege za urussi.
Usilete mzaha kwa vitu vikubwa, Kama huna point wacha ikupiteRudi usingizini ukamalizie ndoto yako 😅😅
Usilete mzaha kwa vitu vikubwa, Kama huna point wacha ikupiteRudi usingizini ukamalizie ndoto yako 😅😅
Afrika sisi ni watu wa ajabu sana, sheria tumejiwekea wenye kwamba tuheshimu utawala wa kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wetu kwa njia za kupiga kura, tukakubaliana kwamba tusikubali Wala kuruhusu mapinduzi ya Kijeshi, lakini inapofika wakati wa kusimamia maamuzi yetu wenyewe, tunasema hao wanaosimamia utekelezaji wa maamuzi yetu wenyewe wanashindikizwa na nchi za nje, ila hawa waliovunja makubaliano yetu ndio wenye uzalendo na bara letu, uzalendo kwa kwenda kinyume na Yale tuliyojipangia sisi wenyewe?, kweli?.Niger lazima ipigwe iwe funzo kwa Russia kwamba hakuna nafasi ya mapinduzi ya kijeshi afrika. Kama wazungu (EU) wamekataa gesi na mafuta yako na wanataka ya Nigeria (willing buyers willing seller) kwanini wao watake kuvuruga hio biashara.
ECOWAS wamekiri walifanya kosa walipoziachia Mali na Burkina Faso, raundi hii lazima wajaribu kijeshi. Mchina tayari amesmamisha kazi ya kujenga daraja Niger kisa kuogopa vikwazo vya magharibi
France depends on Total for energy security and rights. Hivyo kama nchi wanatetea mambo ya LGBTQ+ lakini ikigusa mahali panapouma wanaufyata kama mbwa koko. Energy ndio kila kitu kwe chumi za kidunia.Hiyo haizuii nchi kuwa na maamuzi yake, hasa nchi tajiri ambazo zimejitosheleza
🤣🤣🤣🤣🤣 rudi ukalale mzee umalize ndoto yako kwa amani kabisaUsilete mzaha kwa vitu vikubwa, Kama huna point wacha ikupite