ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,458
- 89,880
Endelea kuishi kwenye historia.Na wewe Kwa mihemko Yako unadhani utalindwa Bure yaani Wagener wakulinde wewe Bure? Hawajafikia kiwango hicho Cha upumbavuHistoria ni mwalimu mzuri na inasema warusi hawana historia ya kuinyonya Afrika.
Nimekuuliza swali ujibu swali 👇👇👇Tuoneshe mkataba
Kati ya yule anaechukua 10 anakuachia 0.5 na yule anaechukua 10 akakuachia 5 bora ni yupi???😅😅😅😅😅
Ni biashara, wanalipwa kwa kazi yao dili likiisha wanaondoka, sasa niambie hao wafaransa wana dili gani lisiloisha hapo Niger toka 1800's?Endelea kuishi kwenye historia.Na wewe Kwa mihemko Yako unadhani utalindwa Bure yaani Wagener wakulinde wewe Bure? Hawajafikia kiwango hicho Cha upumbavu
Ni sawa na kusema "Tanzania needs Bakharesa more than other way round[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Total is a multinational company though headquarters yake iko France lakini haiendeshwi au kutishwa na serikali yoyote ile mfano mzuri issue ya Total na EU.
France needs Total more than the other way round.
Walikuwa wawekezaji nyie matapeli mumewapora Mali YaoNi biashara, wanalipwa kwa kazi yao dili likiisha wanaondoka, sasa niambie hao wafaransa wana dili gani lisiloisha hapo Niger toka 1800's?
Upuuzi,Wapigwe WapigweNimekuuliza swali ujibu swali 👇👇👇
Mkuu wewe upo na shida Sana, hivi unajua maana ya "activation of standby force?, Sasa ulitaka majibu gani zaidi ya kuimarisha vikwazo na "activation of standby force?. Wewe ulitaka wafanye nini zaidi ya hizo hatua walizochukua?. Mimi ninaamini hujui maana ya neno "activation of standby force".Siku 10 zishapita walizoahidi sasa zinaenda siku 14 hakuna majibu mpaka sasa hvi [emoji28][emoji28][emoji28] na kwa taarifa fupi tu hao ecowas wameanza kugeukana wao kwa wao sasa au huna hio taarifa na kwa taarifa rais aliepinduliwa au kwa lugha nyingine kibaraka wao yuko kizuizini hvi tunavozungumza
Wanakaa vikao kila siku na majibu hakuna hahaha ngoma nzito nilikwambia mm na bado kisago kinakuja kwenye nchi zao hao ecowas tulia muda uongee[emoji28][emoji28]
Walipokuja Afrika 1800's nani aliwaalika?Walikuwa wawekezaji nyie matapeli mumewapora Mali Yao
Sawa mwenye kisu kikali atakula nyamaWalipokuja Afrika 1800's nani aliwaalika?
Mkuu, Umoja wa Afrika miaka 25 iliyopita ulitoa azimio la kutokomeza mapinduzi ya Kijeshi Afrika, na kutotambua utawala wa kijeshi, ndio sababu yakitokea mapinduzi yoyote pale Afrika, hatua ya kwanza ni AU kuitenga na kutotambua utawala wa kijeshi, huku wakitumia mbinu za mazungumzo Ili kuhakikisha utawala wa kiraia unarudishwa haraka Sana.Hivi naomba kuuliza wazee. Mbona hawa Niger wamewakalia kooni sana kwani ndio nchi ya kwanza au ya pekee kufanya mapindizi ya kijeshi kwa miaka hii??
Nilijua swali huwez kujibu 🤣 🤣 🤣 🤣Upuuzi,Wapigwe Wapigwe
Hivi unajua maana ya Multinational company (MNC)? Wacha kubisha vitu vya ajabu!Ni sawa na kusema "Tanzania needs Bakharesa more than other way round[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nijibu upuuzi unaandika vitu vya kichwani mwakoNilijua swali huwez kujibu 🤣 🤣 🤣 🤣
Hahahaha, ndoto hizi zinakusaidia kupata usingizi wa mchana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona hunielew ninachoongea nimekwambia hvi huo mradi hata mchina anautaka so hata mfaransa akiacha kisa uganda imekataa ushoga wako watu wanautaka na wataendeleza simple like that mzee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] vp ecowas wamefkia wapi?? Naskia wameanza kugeukana wao kwa wao sasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
hahaha mm nilikwambia na nitakwambia hata hzo nchi nne zilizobakiwa ecowas mapinduzi yanakuja kwao vile vile just wait muda utaongea zaidi, vibaraka wote watapinduliwa nchi tatu tayari niger ya nne tayar sasa zimebaki nchi nne au tano ecowas sasa tusubiri tuone, activation of standby force iko wapi na inafanya nini??🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu wewe upo na shida Sana, hivi unajua maana ya "activation of standby force, Sasa ulitaka majibu gani zaidi ya kuimarisha vikwazo na "activation of standby force?. Wewe ulitaka wafanye nini zaidi ya hizo hatua walizochukua?. Mimi ninaamini hujui maana ya neno "activation of standby force".
sasa hasira za nini??🤣🤣🤣🤣🤣Nijibu upuuzi unaandika vitu vya kichwani mwako
Hebu taja Multinational lolote lile hapa duniani ambalo ni kubwa na linauwezo wa kuzuia vikwazo vya nchi tajiri Kama USA na France.Hivi unajua maana ya Multinational company (MNC)? Wacha kubisha vitu vya ajabu!
pole kwa maumivu mtetea haki za mashoga🤣🤣🤣🤣 mm nalala hata bila ya ndoto, mwanaume mzima unashangilia mwanaume mwenzako akipumuliwa na kufukuliwa tope yaani unaonekana kituko mbele ya jamiiHahahaha, ndoto hizi zinakusaidia kupata usingizi wa mchana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]