Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu mradi upo chini ya Total ambalo ni kampuni la Ufaransa, ila pesa ndio wanaomba China, Sasa Kama serikali ya Ufaransa ikivunja mahusiano na Uganda na kuiwekea vikwazo, itawezekanaje kampuni lao kuendelea kuwekeza Uganda?
china kaahidi atatoa so shida iko wapi? Mchina mwenyewe anaitolea macho hio project yeye mwenyewe anataka hio project ife hata sasa hvi aichukue 🀣🀣🀣 ukisusa wenzako wanakula tu
 
Nilimwambia huyo anaetetea haki za mashoga kua huo mradi mchina anautolea mate leo kesho anaomba ajivue ufaransa alaf aone shughuli itakayofuataπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Asante kwa render, GOD bless uπŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ‘
 
Tuombe iwe hivyo.
 
china kaahidi atatoa so shida iko wapi? Mchina mwenyewe anaitolea macho hio project yeye mwenyewe anataka hio project ife hata sasa hvi aichukue [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukisusa wenzako wanakula tu
Huu mradi sio mradi wa China, huu ni mradi wa Wafaransa, maamuzi yote yapo mikononi mwa TOTAL Energy, ambao ni Wafaransa, China ni financer tu, Sasa TOTAL wakiamua kusimamisha shughuli zao hadi muafaka upatikane, China atawezaje kuchukua mradi?. Kwanza ataanzaje wakati gharama zote za utafutaji wa Mafuta na visima vyote ni Mali ya Total Energy?
 
Naona hunielew ninachoongea nimekwambia hvi huo mradi hata mchina anautaka so hata mfaransa akiacha kisa uganda imekataa ushoga wako watu wanautaka na wataendeleza simple like that mzeeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… vp ecowas wamefkia wapi?? Naskia wameanza kugeukana wao kwa wao sasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
ichoboy01 Jamaa zako wanang'olewa muda sio mrefu
Siku 10 zishapita walizoahidi sasa zinaenda siku 14 hakuna majibu mpaka sasa hvi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na kwa taarifa fupi tu hao ecowas wameanza kugeukana wao kwa wao sasa au huna hio taarifa na kwa taarifa rais aliepinduliwa au kwa lugha nyingine kibaraka wao yuko kizuizini hvi tunavozungumza

Wanakaa vikao kila siku na majibu hakuna hahaha ngoma nzito nilikwambia mm na bado kisago kinakuja kwenye nchi zao hao ecowas tulia muda uongeeπŸ˜…πŸ˜…
 
Hivi naomba kuuliza wazee. Mbona hawa Niger wamewakalia kooni sana kwani ndio nchi ya kwanza au ya pekee kufanya mapindizi ya kijeshi kwa miaka hii??
Kwasababu niger wamejitambua na wameshtuka sasa ule unyonyaji wao wa kuiba rasilimali utaisha ndio hofu yao kubwa na hasa kwa ufaransa ambako tayar kashapoteza nchi tatu kwenye mageuzi sasa anahaha hasa kwenye resources so wanazunguka kwa nyuma kutumia ecowas kurudisha wale watu wao ili waendelee kuinyonya niger sasa bahat mbaya zaidi ecowas yenyewe hawaaminiani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na nchi zilizobaki ecowas hazizidi 5 na wote wana migogoro kwenye nchi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…