Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mali walifanikisha kwa msaada mkubwa sana wa South Africa. South Africa waligharamia mpaka usafirishaji wa wachezaji from and to the hotel mpaka final na gharama nyingine nyingi sana.

Gabon, na nchi nyingine za africa ambazo hawana watu crazy wa mpira kama Tanzania ikiwamo South Africa, wanapata sana tabu gharama za kuvimeintain viwanja vingi walivyojenga. Kama Gabon, viwanja vimekuwa magofu.




Another one



Another one


Karibia vyote.

Abandoned 40,000 seater left to rot with pitch and stands reclaimed by nature
 

Attachments

  • 1691453659759.png
    28.2 KB · Views: 37
  • 1691453393860.png
    29.7 KB · Views: 35
Uwanja wa kaitaba upo tu na nyasi zake bandia, taa,..kwa nini wasiuongezee thamani kwa kupanua majukwaa na kufanya kuwa na uwezo wa kubeba hata watu 30k...maana nafasi ni kubwa ipo..
Huu hauna mambo ya CCM wala nini ni wa serikali...
Kuna hitajika hata billion 2 tu kujenga majukwaa tu kaitaba...maana pitch iko vzr tu...
Lakin anyway labda watu wataiwazia Bukoba kama chato...kuwa wanapapendelea....watajenga tu Dar huko....mji mmoja tu wa dar unakuwa na viwanja vitano vya mpira....na academy kibao...

Kaitaba kwa sasa
 
Ndo maana tunaomba AFCON kwa kushirikiana na Uganda na Kenya tugawane hasara! Michuano huwa haina faida.
 
Mmeanza kweli Kaitaba? Nshomile wangapi hufika kwao kwanza? Naona umetaja Chato mwenyewee kwa kujihisi! Manumbu Morogoro deserves more than that Kaitaba! Nina uhakika hiyo Kaitaba hapo ilipo huwa haijai kunapokuwa na mechi.
 
Mmeanza kweli Kaitaba? Nshomile wangapi hufika kwao kwanza? Naona umetaja Chato mwenyewee kwa kujihisi! Manumbu Morogoro deserves more than that Kaitaba! Nina uhakika hiyo Kaitaba hapo ilipo huwa haijai kunapokuwa na mechi.
Wew jamaa nilikuwa nakuheshimu sema baada ya kuona comments zako za siku hiz...yaani ni bonge la mshamba na chuki zako sijui una shida gani...I hope utakuwa mtu wa kaskazini wew...maana nyinyi huwa hampendi maendeleo kwingine zaidi ya moshi tu....

Sometimes unakaa kimya hasa kwa mambo yanayokuzidi uwezo
 
Uzuri huniheshimu kwa vile napinga miradi ya kindezi! Ohk tufanye mimi wa Kaskazini, huo uwanja wa Kaitaba wa nani kwanza? Msitumie kodi za Watanzania kutaka kujenga tembo mweupe! Nina uhakika hata nyumba pale Kaitaba huna! Ila unataka International Stadium! Yaani waache Morogoro, Mbeya, Kigoma, Tanga na Mbeya waende Kaitaba? Yale yale ya Chato na sisi wa Moshi aka Kaskazini kama unavyodai tulilie uwanja mpya! πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…