Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muulize tena kuwa ana uhakika kuwa hawaja peleka mwakilishi
 
Unasoma kichina kikakusaidie nn kuna watu wanajifunza kifaransa kikasaidie wapi??[emoji1787]

Kwan wanaojifunza kiswahili nchi zingine zitawasaidia wapi??

Alaf ukiambiwa ww dalali unakataa kweli?[emoji1787][emoji1787]
Hawezi kujibu ,sababu ya akili ndogo aliyonayo ata skip au kujibu pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…