Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Binafsi niwashukuru watanzania wenzangu wote humu ambao mmekuwa mfano mzuri wa kulitetea taifa letu na kulisemea mema kwa kipindi kirefu na bado mnaendelea kuelimisha wengine Mungu awabariki sana. Viva Tanzania viva taifa letu[emoji1241] Tunalipenda kwa moyo wote.
 
Huyo jama Walker ni ka ***** huyo mwana, unaulizaje kuhusu mnara wa mashujaa upo kwaajili gani.? Mbona asiulize kuhusu Eiffel tower upo kwa purposes zipi au statue of liberty ipo kwa purposes zipi.? 😂😂😂 Jamaa ni li much know sana kila kitu linataka kukosoa. Sijui halioni kitendo tu cha kuweka monument ni unique identification ya sehemu fulani.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…