Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stick to your daladala. Tamu irambwe.
 
Kwanini wanawakaribisha watalii kwenye hizo shitholes.
Ni ujinga sana huo, its like they're proud of Kibera hawa majamaa.
Wazungu wanazidi kutuona mafara.
iko hivi mdau,karibia charity organization zote zinazotoa huduma za kijamii katika slum za kenya zinaratibiwa au zinamilikiwa na wazungu.

kwa maana hiyo usishangae kuona picha nyingi za slums za kenya kwenye social media zinawekwa na wazungu badala ya wakenya.wazungu ndio wanaosaidia sana kutoa misaada ya kijamii katika hizo slums kuliko wakenya matajiri.yaani wao ndio wanaoshinda site zaidi kuliko wenyeji.[emoji23]
hope umenielewa ndg yangu.
 
Kenya na Tanzania in terms of dev hazifai kuwa kwa sentensi moja. Nyinyi kina kaka tambua lanes kwanza. Anzeni na somalia then uganda in that order.
 
Kenya na Tanzania in terms of dev hazifai kuwa kwa sentensi moja. Nyinyi kina kaka tambua lanes kwanza. Anzeni na somalia then uganda in that order.
kauli ya mtu aliyekata tamaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
mavi ya kuku,developed kibera my foot...if it were there you wouldn't wait to show us....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ignorant Tanzanians don't know that the posh Woodley estate is part of kibera. .. up to and including high rise estate.
 
Kenya na Tanzania in terms of dev hazifai kuwa kwa sentensi moja. Nyinyi kina kaka tambua lanes kwanza. Anzeni na somalia then uganda in that order.
Hvi kumbe wewe mgeni jamii forum aisee karibu sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sasa tuonyeshe estate zenu za middle class in aerial view
 
hii city nayo ndio hushangaza....hahaha.kweli Nairobi hata maskini huonekana civilized
 
that's why you are ignorant..........hahaha.Msiogope kuja juu ya aibu.kama mmejaza omba omba Nairobi seuze kuzuru....
Hapana unapo opt wapi uende Kenya hiawez kua sehemu sahihi ...Yaani even Namibia ni better broo kenya ni y kuifananisha na Tz ukitoka uku east huna pakutokea

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…