Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahivyo diamond ndo kipimo cha entertainment duniani? Kama hauna empirical data jua tu hauna point yeyote.
Hivi wewe Huwa uko na akili kweli?, Kwamba "Kenya has the best musicians in Africa". Hapa East Africa Kenya haina hata "musician mmoja ambaye anaingia "top ten".

Hivi Kenya Kuna mwanamziki gani?, iweje kwenye media zenu zote huko Kenya "top ten" zinazo trend zimetawaliwa na Bongo flava?.


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hauna point pumzika, siku mkitushinda kwa media revenue njoo unitag. Nimefunga huu mjadala
 
🤣🤣🤣🤣🤣baada ya kuiba wanakimbilia tanzania na europe kula bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…