Hii noma sana.Nawaonea huruma watoto wanaopigwa mabomu ya machozi kisa wazazi wao wanadai ugali kwa meza [emoji22][emoji22]Lakini hii haki iko enshrined kwenye constitution. Kuisha mpaka ugali ukae kwa meza si kitu ingine [emoji16]
Wazee wa kula miogo na makandeπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Ni Kunyaland tu ugali unaweza kusimamisha nchi na serikali isifanye kazi kabisa, kwani hawa huwa wanakula ugali wa aina gani? ππππ
Hii ndio hali naiona Kenya huko wanakokwenda ni pabaya sana, kwenye katiba yao ndivyo inavyosema?Eti tynawaombea dua muuane!![emoji1787][emoji1787] Wakati dua walishaomba mungiki [emoji1787][emoji1787]
Ila ki ukweli inanitisha hii hali sasa! Dah!!
I liked here ππππ yaani ni kusafi na kuzuri kama zion π€£π€£π€£Tanzanians here never show their street level, they know the decay that is there.
Ugali shuted down shakahola completely, githeri ndio kande? ππππWazee wa kula miogo na makandeπ€£π€£π€£
Kati ya hawa wote, kundi lipi liliiba maandazi pale Westgate mallAP Border Patrol UnitView attachment 2692277View attachment 2692278
The horn of Africa and Kenya itself!Russia's termination of grain deal disproportionately impacts the Horn of Africa, Kenya says
Russia's termination of grain deal disproportionately impacts the Horn of Africa, Kenya says
Russia launched an attack on Odesa early Wednesday, the second night in a row the southern Ukrainian city has been targeted.edition.cnn.com
and Africans support these Russian smh
Wote walikuwapo plus KDF na jamaa wakatoroka!Kati ya hawa wote, kundi lipi liliiba maandazi pale Westgate mall
Makande na githeri ni mbingu na ardhiUgali shuted down shakahola completely, githeri ndio kande? ππππ
Two rivers giving you sleepless nights π€£π€£π€£π€£No stone shall remain standing,
That very small drab little two rivers will remain in story books as the mighty, mesmerizing ultramodern $120m, 75K square meters East African Business & Logistics Center in Ubungo Dar es Salaam Takes Shape.
We are back to our Glory
View attachment 2692855
View attachment 2692856
View attachment 2692857
View attachment 2692858
View attachment 2692859
View attachment 2692860
View attachment 2692861
Hebu tuwekee picha ya baadhi ya streets ndani ya cbd yenu tucheke[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mi natembea sana Jiji la Dar kwa mguu, najua lilivyo Pedestrian friendly. Kwenye marking, signage mnatembelea kichwa Boss.