Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Last week more than 25 Kenyans were killed who wished them?, You Kenyans are very hopeless people, you create your own favorable atmosphere for killing each other every day but you blame others for wishing you evil. Why when you do good thing you don't say because we wish you the best?.

Albino killings ended almost ten years ago, but Alshabaab are killing you on daily basis, your police are killing like flies everyday, Shakahola has killed you in thousands, hunger is still killing you left and right. Kenya is a cursed country

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kesho shakahola itaingia kwenye turmoil of the century mpaka furahi day dadeq

 
Wafanyakazi waliwahi kuharibu miundombinu, uporaji na kuua watu?
 
Pesa yao wanasema ina thamani sana, mbona wasiitoe photocopies nyingi wamalize shida zao za uchumi? 🤣🤣🤣

 
Wafanyakazi waliwahi kuharibu miundombinu, uporaji na kuua watu?
Uharibifu hutokea baada ya polisi kuanza kuwatawanya na kurusha mabomu ya machozi, kwa hasira waandamanaji wanaamua kujibu mapigo, aliyeanzesha fujo ni yule aliyeaanza kurusha mabomu ya machozi na maji ya washawasha

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sielewag majeshi ya kenya😄.. hawa ni wanajeshi au polisi?
Mtu ajaribu kunipa utafaut wao.. yup ni polisi na yupi ni mwanajeshi
I don’t know about Russian trained but this Kenya Police paramilitary wing aka GSU ( General Service Unit)… Kenya Police has many branches including 2 paramilitary groups.. Their uniform is almost similar to the other Police paramilitary branch..AP ( Administration Police) … the difference is GSU has greenish brown camo while APs have greenish maroon camo…. Both have Specialized units trained either in Israel or the United States…. AP special Forces, Border Patrol Unit and Rapid Deployment unit ( RDU)….whereas GSU have the Israeli trained Recce company… ( known worldwide)…… now you know …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…