Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Azam stadium is also approved by CAF and Gor have been specific kuwa for early rounds they will use Azam complex while at the group stage if they qualify they will use Mkapa Stadium.
Sasa hii kitu ndio unaringa nayo? Kitu hata haifikii viwanja za mtaa huku kama Dandora Stadium na Camp Toyoyo.🤣🤣🤣

images - 2023-07-17T154547.146.jpeg
 

Kila siku huwa nakukumbusha kuwa wewe ni mbumbumbu. Tangu mwaka 1964 Tanzania iliacha kutumia Wanajeshi kwenye ulinzi wa Rais na viongozi wa serikali baada ya maafisa wa jeshi kuasi "mutiny" kipindi ambacho jeshi lilikua likitoa ulinzi wa rais na viongozi wa serikali.

Ndio FFU alianzishwa na kupewa jukumu hili. Ni huyo mama mbeba mikoba mwenye nguo za jeshi ndio mwana jeshi na jukumu lake sio ulinzi.

Wewe unaokota okota kila kitu huko twitter bila kushirikisha ubongo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣…. Children play…. Hio inaitwa Military diplomacy…… big difference na what the US has with Kenya in military matters….. you guys get equipped by the Chinese…. Keep it up…🤣🤣🤣
Pole sana kunyan,this year us army walitrain na TPDF zaidi ya mwezi,TZ uwa hatunaga ushamba wa kujitangaza kama nyie wapumbavu
 

Attachments

  • JWTZ_&_U.S_ARMY_Kufanya_mafunzo_maalumu_kukomesha_ugaidi(360p).mp4
    8.6 MB
Sasa hii kitu ndio unaringa nayo? Kitu hata haifikii viwanja za mtaa huku kama Dandora Stadium na Camp Toyoyo.

View attachment 2691093
Lia ukimaliza just accept kwamba timu zenu zitakuwa zinatumia viwanja vya Tanzania kucheza mechi za kimataifa, mmerukaruka wee now mmekubali wenyewe kwamba hamna pa kukimbilia zaidi ya Tz
 
Now you know who is the superpower in EA. From food, raw materials, manufactured goods, music, boxing, cooking gas, edible oil, to sports, Kenya depends heavily on Tanzania. Uganda also don't have stadium like Jenya

If you can't fight them, join them

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
It's a single CAF approved stadium, not stadiums. Get your facts right.
Gor mahia watacheza viwanja viwili tofauti kama watafanikiwa kuvuka step inatofuata kitu ambacho hakiwezeni kutokana na umaskini unaowaandama, so hapo unaona ni single CAF approved stadium? Apart from kelele na GDP ya kupika nyinyi hamna chochote cha ku battle na Tz, ni vile tunawaliwaza tu hapa, na sasa ukweli unafunguka kwa kasi ya umeme
 
Back
Top Bottom